Current Situation In Rwanda!

Ukigusa maslai ya USA lzm uondolewe madarakani Kwa njia ya demokrasia,vikundi vya waasi au drones facts japo inaumiza sanaaaaa......

Sent using My COVID-19
 
Kagame anaipa wakati mugumu sana Familia yake, watakao kuja kupata shida sana ni familia yake aisee na sijui jama wale Vijana wanashituka kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo shule unadhani madikteta huwa wanaona mbele aa wapi,Leo wengi hata walioshakufa wameziachia bad image familiar Na vizazi vyao havina heshima kijamii hata kitamataifa utazamwa negatively
 
Mbona tunoana ripoti za Transparency Int. kuwa Rwanda ni nchi ambayo inaongoza kwa kutokuwa na matumizi mbaya ya madaraka (corruption) ikiwa imezizidi nchi zote za Afrika Mashariki na Kati hadi baadhi ya nchi za Ulaya?
Cooked sababu wananufaika Na Congo kupiitia m23
.Pk si kwamba ana intelligent Kali thus amedumu ajachokwa Na wakuu wa dunia,kosa la student wake ni kugusa maslai ya kina pompei thus wamemkalia kooni.
 
Cooked sababu wananufaika Na Congo kupiitia m23
.Pk si kwamba ana intelligent Kali thus amedumu ajachokwa Na wakuu wa dunia,kosa la student wake ni kugusa maslai ya kina pompei thus wamemkalia kooni.
wanaonufaika na Congo kupitia m23 Transparency international?
 
Nimeona, aisee.. Wahutu tupu ndani.. Dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
Check Na Burundi ingia BBC eyes on Africa uchek nyumba za Mateso Burundi uone mifereji imejaa damu za watu hii siri ndio iliyofanya Kurunziza aipige maarufu BBC Burundi.Ukimuona mtawala wa kiafrica peponi jua hio sio pepo.Wanawatendea waafrika ukatili wa hali ya juu kuliko hata mkoloni alivomtendea mabaya mwafrica.
 
Na siku watu wakiweza kumtia mkononi pk
Watagawana mwili wak[emoji23][emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani akili ndogo sana yahitajika kuelewa maisha ya huko! serikali ilikuwa ya wahutu miongo kibao wahutu wanaohesabu ni nchi yao na watutsi ni wakimbizi wahamiaji, serikali hiyo ya kihutu ikaua na kutesa watutsi nao wakakimbia ovyo miaka ya 1960s, mwaka 1994 wahutu wakapanga kusafisha watutsi wakaua kama wote kupitia interahamwe bahati mbaya Rais wao mhutu akatunguliwa ikapatikana power vacuum mbabe mtutsi akitokea uhamishoni Uganda akashika dola! jamaa hawezi kutoka madarakani hadi afe manake akitoka watutsi wote wataanza mbio tena! kwasasa kibao kimegeuka wahutu wote wametoka nduki!!!ukisoma google kila anaepinga dola ni kuua ulaya wameua, kenya wameua kwao kama wote , south kama kawa! ni uasi wa wahutu tu unaweza kumtoa!! nani hajaelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…