CUF yachemka maandamano kumpinga Hamad jimboni Wawi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF yachemka maandamano kumpinga Hamad jimboni Wawi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by hasan124, Jan 18, 2012.

 1. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari za kuaminika kutoa Pemba zinasema chama cha CUF kimekosa washirikaJimbo la Wawi ya kumpinga Mh. Hamad Rashid na matokeo yake Ni kwamba imewalazimu kutafuta njia mbadala na kuitisha mkutano wa hadhara Pemba nzima kikiendelea na zoezi lake la kujitakasa mbele ya wanachama wake kwa kitendo cha kuwafukuza Hamad Rashid na wenzake.

  Ili kufanikisha zoezi ile CUF almaarufu Kama CCM "B" (kwa kutumia tekniki ile ile ya kiccm) wamekodisha malori kutoka kona zote za Pemba kusudi wapate watu wengi kuonyesha zoezi lao limefanikiwa.
   
 2. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haya CCM B na sarakasi zenu
   
 3. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naamini hamad na wenzake wameona huo Uccm B that's why wakalianzisha, hebu tusubiri watoke kabisa labda tutapata kwa undani uCCmafisadi B wa Cuf umekaakaa vp.
   
 4. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Hii ni ishara kwamba 2015 CUF itapoteza viti vingi sana pemba.
   
 5. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35

  Wapi mtatiro?,Tupe majibu ya watu kama hawa
   
 6. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari Njema hii kwani kwa yeyote mpenda maendeleo na democracy katika INJI hii atakubali kwamba mabadiliko hayahitajiki kwa kuiangusha ccMafsd pekee Bali hata kwa vyama pinzani vyenye Mrengo huo wa kiCCm na pia wapemba waondokane na uCUF wajiulize toka mwaka 1995 waanze kuichagua imewafanyia nini?!! AMA ndo yaleyale ya chama tawala?!
   
 7. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ni lini Mh Hamad Rashid atakwenda Wawi na kuongea na wazee na wapiga kura wake ili awaeleze kadhia nzima kwani mpaka sasa wanasikia upande mmoja tu wa CUF.

  Na Vipi Mh Hamad ameshaacha kushinda pale habari maelezo? au kwanza anasubiri msiba uishe maanayake hakuna wanahabari pale wote wapo Ifakara?

  Tunasubiri kusikia ziara ya Mh Hamad Wawi itakuwa lini?.

   
 8. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Dua la kuku ...

  Je unafikiri Chadema wataweza kupata kiti Pemba kwa kumtumia Hamad Rashid?

   
 9. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sio watoke bali WAMEFUKUZWA KABISA CUF. Ila kadi wamekataa kurudisha lakini kimsingi OUT.

   
 10. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sina uhakika Kama kweli julius Mttro Ni CDM but nina hakika kwa sasa ni kibaraka pale Buguruni akitekeleza kwa utiifu haswa sera za ndio mzee kwani an ajua fika endapo ataenda kinyume na bosi basi tena yatampata yaliyowatokea wooooote waliothubutu kupinga maamuzi ya bosi.....
  kwa kusaidia Kama atajitokeza aanze kwa kutuelezea ukubwa wa JIMBO la WAWI na huo umuhimu wa kukodi malori kubebea watu kwa ajili ya huo mkutano jioni ya Leo.....na iweje yaonekane maeneo tofautitofauti ktk majimbo jirani na WAWI Kama ziwani etal
   
 11. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwasitahiri ya kukodi maroli na kusomba watu kweli itakuwa ccm b. wapinzani huwa hawakodishi watu
   
 12. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  siyo pemba tu, hata unguja wanaweza wakavikosa walivyonavyo.
   
 13. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sawa kabisa baru, "WAMEFUKUZWA" lakini kufukuzwa Huko kwa mdomoni?!! Hadi Leo hakuna mwenye barua ya kuonyesha kafukuzwa. Inakuwaje chama kikubwa Kama cuf kishindwe kutoa barua za kuwafukuza?!!
  suala la kwenda WAWI Ni lazima na hata siku moja hamad hawezi kuhofia kwenda WAWI, kuna kesi mahakamani ya halo wakipinga amri ya mahakama wa kuu na hamad na wenziwe tusubiri hauwezi kujua ana kitu gani ndani yake alichowaandalia wapiga kura wake. Labda Ni surprise nzuri kwao na labda ni surprise kubwa kwa cuf. U never know.
   
 14. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dah! Ebwana kweli kabisa desturi hii ya kukodi malori ni Yao ccMafsd pekee
   
 15. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Shida yako wewe akili uliziacha Pemba mwenyewe ukaenda kuishi Oman. Kitu pekee ulichokumbuka kuchua kwenda nacho ni Diploma yako ya UMBEA.

  Kama unaamini Seif anamuweza Hamad Rashid soma hapa
   
 16. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dah!! Umenisaidia sana kumuelewesha Huyu jamaa.....amefanya nijue zaidi kwa nn darajani kunakuwa na mtu wa kwanza na wa mwisho
   
 17. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kweli wewe hujui ulinenalo.

  Kwani alipochukua uanachama alipewa barua? Kwa mujibu wa Jussa ni kuwa wamemwandikia spika Makinda kuwa Hamad sio mwanachama wao wamemfukuza.

  Sasa ni kazi ya Spika kutekeleza yanayofuata. kumbuka kazi ya chama sio kumvua ubunge bali ni kumvua uanachama. Ila sheria ndio inayomvua ubunge wake.

  Hamad anasubiriwa kwa hamu kubwa wawi na sio habari maelezo.

   
 18. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  CUF Pemba ni sawa na osama na mabomu!!!
   
 19. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #19
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0

  Usolijua ni kama usiku wa kiza kinene.

  Maalim Seif si tu katibu mkuu wa CUF taifa bali pia ni makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar.

  Je Hamad rashid ni nani?

  maalim ameunguruma kwa nguvu zote manzese na ving'ora kibao , je Hamad rashid kaunguruma wapi? au habari maelezo?
   
 20. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #20
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii habari itakuwa nzuri sana kwa hr na leo kama sio kesho lazima aende maelezo akabwabwaje kuhusu ccm b
   
Loading...