Tatizo lenu vibaraka wa maalim seif na bosi wenu mnalazimisha kuichafua chadema tu hata pale isipohusika.
Siku mtakapotubu dhambi ya ubaguzi unaowatafuna ndipo mtafanikiwa kuiongoza nchi yetu, short of that mtaendelea kutawala huko huko pemba.
Hahahahaha! Posti moja tu unamuhusisha Hamadi na CDM ya pili unamgomba mwenzio kufanya hivyo. Du unazi Bwana ni upofu!