CUF yachemka maandamano kumpinga Hamad jimboni Wawi

CUF yachemka maandamano kumpinga Hamad jimboni Wawi

Ni lini Mh Hamad Rashid atakwenda Wawi na kuongea na wazee na wapiga kura wake ili awaeleze kadhia nzima kwani mpaka sasa wanasikia upande mmoja tu wa CUF.

Na Vipi Mh Hamad ameshaacha kushinda pale habari maelezo? au kwanza anasubiri msiba uishe maanayake hakuna wanahabari pale wote wapo Ifakara?

Tunasubiri kusikia ziara ya Mh Hamad Wawi itakuwa lini?.

Umesomeka PA wa maalim seif. Hamad Rashid anawakimbiza hadi mtakoma kumfukuza uanachama.

Kama mnataka kuinusuru CUF ni lazima mumrudishe kundini HR, vinginevyo mtapukutika pemba jimbo moja baada ya jengine.

Na hiyo ya leo ilikuwa ni rasha rasha, siku HR akivuka maji na kwenda wawi siku hiyo mtaaibika vibaya.
 
kwanza mama yake amefariki tangu mwaka 2008, pili trekta liliuzwa na mkutano mkuu wa jimbo na fedha kugawanywa kwa kila tawi {matawi 21} kila tawi likapata tshs. 425000/=. Zilizobaki walilipwa dereva na mafundi kutoka karakana ya serikali.
Ukitaka kuthibitisha hili nenda matawini utapata ukweli
Acha UKASUKU.......nionavyo mimi kwa pointi dhaifu kama hii ya trekta ninyi ndio wapotoshaji wenyewe kama haoo wanaofanya mikutano kwa kukusanya watu huku na kule ili tu kumuumbua mtu mmoja. Jibuni hoja

Asikupe shida huyo ni mtumwa wa ofisi za mtaa wa lumumba, bila kuandika upupu hapa JF hapati mkate wake wa kila siku.
 
Dua la kuku ...

Je unafikiri Chadema wataweza kupata kiti Pemba kwa kumtumia Hamad Rashid?

Kwa taarifa yako, na hii mpelekee bosi wako maalim kwamba HR anajiunga na chadema 2015. Kwa saahivi ataendelea kuwa mbunge wa mahakama hadi amalize ngwe yake. Mara tu baada ya kuvunjwa bunge August 2015 anajiunga rasmi chadema na kugombea uraisi wa zanzibar, sasa sijui mtamsimamisha nani huko kwenu kushindana nae.
 
Hasan124 aka HR, unakumbuka maneno ya Marehemu na Dr Omar? Ukiona mtu hayupo CUF pemba ujue ni MWANAHARAMU! Wewe HR hawa wachagga wanakudanganya, wanataka wakutumie ili kujijengea uhalali ZNZ. Amini nakuambia kama SEIF hawezi kufanya kitu Pemba, Mbowe hawezi fanya lolote......sana sana mtaambulia madanguro, bar na makanisa! Kama hayo ndio unayotaka haya endelea nao hao CDM!
 
Tatizo lenu vibaraka wa maalim seif na bosi wenu mnalazimisha kuichafua chadema tu hata pale isipohusika.

Siku mtakapotubu dhambi ya ubaguzi unaowatafuna ndipo mtafanikiwa kuiongoza nchi yetu, short of that mtaendelea kutawala huko huko pemba.
 
Dua la kuku ...

Je unafikiri Chadema wataweza kupata kiti Pemba kwa kumtumia Hamad Rashid?

Nyota njema huonekana asubuhi,na kama ulikuwa hujui biashara ni asubuhi joini mahesabu.
 
Hamad Rashid WAWI anaina kama Moto, akifika zomeazomea

Kama Dr.Kafumu alivyozomewa kule Igunga eti!!!

Alafu hilo neno kwenye red yaani "anaina" kwa ki kwetu ni "anadindisha" rekebisha basi kiongozi yaani "anaona" nadhani ulimaanisha hayo.
 
Hasan124 aka HR, unakumbuka maneno ya Marehemu na Dr Omar? Ukiona mtu hayupo CUF pemba ujue ni MWANAHARAMU! Wewe HR hawa wachagga wanakudanganya, wanataka wakutumie ili kujijengea uhalali ZNZ. Amini nakuambia kama SEIF hawezi kufanya kitu Pemba, Mbowe hawezi fanya lolote......sana sana mtaambulia madanguro, bar na makanisa! Kama hayo ndio unayotaka haya endelea nao hao CDM!

Marehemu Dr Omari<mungu amlaze pema> hakuwa CUF.Unaamaanisha alikuwa MWANAHARAMU?
 
waTZ wooote tungekuwa na uelewa kama wako maria nchi tungeshaikomboa hii kutoka kwa mafisadi, lakini akili fupi kama hizi za mpemba mbishi ndio mara zote huwa vikwazo ktk maendeleo ya taifa hili changa. haya mambo ya kwenda kuzoazoa watu wa majimbo mengine huko ili tu mmuumbue mtu mmoja naamini yasingekuwepo kabisa. wajiulize hao kina Juma Duni na wengine waliopo madarakani hivi sasa wamefanya nini? hoja alizotoa hamad rashid wamezijibu lini? na wapemba wamefaidika nini na uwepo wa CUF madarakani toka mwaka 1995 hadi leo, je? kuna mabadiliko yeyote yaliyotokea ama ndio yale yale ya ccMfsdi?

mpemba elewa!!!hamna mwenye hati miliki ya CUF ZAIDI YA WANAINCHI
CUF ilianzishwa kuwasaidia wanainchi wa tanganyika na zenji

huku bara kuna hatari kubwa ya kuporomoka democrasia ikiwa cdm watafanya SUK na ccm bara in feature so mahali salama pa kukimbilia ingekuwa ni CUF ili tuiadhibu CDM + CCM ikiwa wataungana.

Mfano kwa sasa wazenji hawana mtetezi simply bcs maalim seif juzi alisifia maendeleo yaliyopo zenji ktk kipindi cha miaka 48.
CUF lazima wabadilike huku bara atapata wafuasi wengi vyuo vikuu ikiwa atawaongoza wabunge wake watetee maslahi halisi ya taifa japo kwa miaka miwili.Kinyume na hapo burian CUF

Nilikua nimerusha mitego yangu kwa bahti njema mitego imenasa!! Ahsanteni kaeni na wasomi wenu akina Dr. Bana, John Tendwa, Werema na Vilaza wengine. Zanzibar Daimaaaaaa Mbeleeee. Am proud to be Zanzibari.
 
Zanzibar ni koloni la kudumu la Tanganyika ndio maana haina sarafu, haina Passport wala haina kiti Umoja wa Mataifa, Rais wa Zanzibar hana tofauti na Rais wa TFF hana hata uwezo wa kuamuru vita.
 
siyo pemba tu, hata unguja wanaweza wakavikosa walivyonavyo.
Hamad rashid nenda kaongee na wanacnhi wako achana na akina mtatiro wanapiga soga kama ni wajasiri wangekwenda wawi wakufukuze mbele ya wapiga kura wako
 
Dua la kuku ...

Je unafikiri Chadema wataweza kupata kiti Pemba kwa kumtumia Hamad Rashid?

Mkuu Chadema itakutoa roho ukiwa na mawazo muflisi kama haya. Kwa nini usidhani CCM, NCCR ama UPDP? Au ndio nyie mnaotaka kufanya siasa ya nchi hii kama Simba na Yanga wakati Azam,Lipuli na Toto nao wamo!
 
Zanzibar ni koloni la kudumu la Tanganyika ndio maana haina sarafu, haina Passport wala haina kiti Umoja wa Mataifa, Rais wa Zanzibar hana tofauti na Rais wa TFF hana hata uwezo wa kuamuru vita.

Sio kosa lako tatizo ni kutokua na radhi za kiongozi wako mkuu wa nchi (Raisi) kwa jinsi mara nyingi unavyomkejeli na kumdharau ndio maana unashindwa hata kuandika kisichofahamikaa! Nyinyi Watanganyika samahanini kumbe 'Watanzania Bara' siku zote mutapata tabu hadi muirejeshe nchi yenu ya Tanganyika ambayo hamujui ilipelekwa wapi ndipo akili zenu zitatulia... Shukurani pekee zimwendee Muungu Muumba kwa kulibakisha jina la Zanzibar hadi leo na kuweza kutamkwa midomoni mwa wanadamu.
 
Jina ndio kitu!!?? mbona hata panya ana jina? kinachohitajika ni Mamlaka na mamlaka wanayo Watanganyika, kama mna jeuri jiungeni na OIC na UN basi tuone!
 
Dua la kuku ...

Je unafikiri Chadema wataweza kupata kiti Pemba kwa kumtumia Hamad Rashid?

Labda kweli ni dua la kuku mkuu lakini mwewe hawezi kuwa CUF, hebu rudisha kumbukumbu zako mwaka 2001 january baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2000 CUF na Maalimu walivyokuwa wameiteka pemba, halafu leo watu walewale wanakusanywa kwa malori kuhudhuria mkutano wa hadhara! Tuombe uzima mkuu tukutane tena hapa baada ya uchaguzi wa 2015 ntakukumbusha maneno haya.
 
Mulishazoea kutuburuza siku nyingi sana na sasa Wazanzibari tumeamua kua wamoja na ndio maana fitna zenu zimeongezeka mara dufu kwani hamuamini kama ipo siku Wazanzibari wangeweza kuungana kama walivyo sasa! Zanzibar Daimaaa Mbeleee, where is Tanganyikaaaaa?
 
Jina ndio kitu!!?? mbona hata panya ana jina? kinachohitajika ni Mamlaka na mamlaka wanayo Watanganyika, kama mna jeuri jiungeni na OIC na UN basi tuone!

Zanzibar itajiunga na OIC, itakuwa "Islamic State" soon or later..wala si muda mrefu..

Mimi mtanganyika lakini ikianza vita ya kujitenga nitajiunga na wazenj
 
Zanzibar itajiunga na OIC, itakuwa "Islamic State" soon or later..wala si muda mrefu..

Mimi mtanganyika lakini ikianza vita ya kujitenga nitajiunga na wazenj

Hata barubaru alijilipua lakini kila siku yuko busy na mambo ya Cuf as if yeye ndiye msemaji wa maalim seif. Kama na wewe unataka kufuata nyayo si jambo la ajabu.

Muungano ukiendelea kuwepo sahau hiyo ndoto yenu kujiunga na OIC.
Kama mnataka kwenda huko fanyeni kila mnaloweza mvunje muungano, tofauti na hapo Watanganyika tutakuwa na sauti ya mwisho katika maamuzi.
 
Labda kweli ni dua la kuku mkuu lakini mwewe hawezi kuwa CUF, hebu rudisha kumbukumbu zako mwaka 2001 january baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2000 CUF na Maalimu walivyokuwa wameiteka pemba, halafu leo watu walewale wanakusanywa kwa malori kuhudhuria mkutano wa hadhara! Tuombe uzima mkuu tukutane tena hapa baada ya uchaguzi wa 2015 ntakukumbusha maneno haya.

Watu gani wamekusanywa kwa malori wewe! Hem ulizia CUF Pemba ikoje, nakuhakikishia hata ifike 2100 ngome ya CUF haitotetereka na sio Pemba tu bali hata Unguja au Zanzibar kwa ujumla, nakupa changamoto ulizia kwao Raisi mstaafu Salmin Amour wananchi wake kuanzia mwaka jana wamefanya nini bila ya kusahau Donge kwao Ali Juma Shamuhuna ambako kwa miaka mingi sana CUF haikuwahi kufanya mkutano hata wa ndani ya matawi.
 
Back
Top Bottom