Karbuni kwenye ukombozi
I love the last part " born again"They were typically UKAWA no doubt. They are born again
Kuna mmoja kajifunika kitambaa usoni, kwanini! halafu vijana wa kihuni tu! Lol hii no!
hahahahhahaha unajua ccm unaeza ukaichukia adi ukawa unacheka yani..wana vituko hawa watawala ss hicho nn hapo ahhahahha wengine kuziba nyuso watu wenyewe wanaonekana wamekurupushwa nyuso zao zinaongea kila kitu ze comedy show
You are in denialNimeishia kucheka tu! Haya maigizo huyo muandaaji hafai hata kidogo!
Endelea kufuata mkumbo na kujiliwaza. Watu wanaingia CCM kila sekunde.
Jifunze kuamini na kikubaliHebu tizama vizuri hao watu sura zao au kwa kizungu wanasema body languge
halafu muangalie alievaa nguo njano pembeni ya alieficha uso ..huyo anaonekana ni mtoto hata kadi ya kura hana
Wengine wanaficha nyuso maana dhamiri zinawasuta..!
sasa ukicheka maigizo hayo je ya lilowasa utafanyaje???kenge mwekundu!Duh! hiz comedy za ccm mwaka huu niacheni nicheke2, hahahaaaa!
Hapo hakuna mwenye kura hata mmoja. Sijui kwanini ivo. Picha ya kwanza ni vijana wa kihuni tu na nina hofu kama ni kadi za ukweli hizo