CUF Waandamana Kuipinga DOWANS

DMussa

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
1,310
296
Wakuu nimekutana na umati mkubwa wa wafuasi wa chama cha CUF ukiandamana kuelekea viwanja vya Kidongo Chekundu. Haya maandamano kwa mujibu wa matangazo wanayopita wakiyatoa ni kwa ajili ya kupinga malipo kwa kampuni tata ya DOWANS.
 
Huo ni kama mchezo wa kuigiza tu. Hao CUF sasa wamechanganyikiwa na sasa wanajaribu kujipatia uhalali wa upinzani huku bara wakati watu wamekwisha wakataa. Maandamano hayo wala hayatakuwa na impact yoyote.
 
Wanaandamana nini wakati mfadhili mkubwa wa CUF ni Rostam? Waache unafiki........
CUF wamekuwa wakifuata mael;ekezo ya January Makamba, namana ya kuendesha kampeni nk....na Makamba ndiye kuwadi mkuu wa Rostam....sasa hawa wahuni wametoa wapi uhalali wa kuandamana?
Na vipi, mbona hawapigwi mabomu ......
 
Kwani maalim seif ananguvu gani kwenye muungano!?
Hawezi kuongea kitu chochote kwenye selikari ya TZ!??
Au nimekwenda mbali nisubili katiba ijayo!
Inawezekana sijui!!
 
Wakuu nimekutana na umati mkubwa wa wafuasi wa chama cha CUF ukiandamana kuelekea viwanja vya Kidongo Chekundu. Haya maandamano kwa mujibu wa matangazo wanayopita wakiyatoa ni kwa ajili ya kupinga malipo kwa kampuni tata ya DOWANS.

Chini ya uongozi wa mtatiro tutegemee kuona maandamano kila wiki hata yasiyo na kichwa wala miguu.
 
JULIAS MTATIRO NI CDM inborn anatafuta popularity ili aje CDM akiwa jina kubwa. NIMEONA WAANDAMANAJI NI WACHACHE KISA WANADAI SI VEMA KUANDAMANA AGAIST mtu wao Jk na wanajutia kuandamana kwa suala la katiba kwani CUF kwa sasa hawataki tena mabadiliko au katiba mpya.
 
CUF wamechoka waacheni waendelee kutapatapa, Maalim naye yupo katika maandamano??
 
CUF wameonyesha njia tuwaunge mkono tuache unafiki wa kudhani hakuna jambo jema linaloweza kufanywa na chama kingine cha upinzani zaidi ya CDM.Hongera CUF hongera J Mtatiro kazi mnayoifanya ni kubwa na ngumu ila ipo siku Tanzania yenye neema,haki,usawa kwa wote utaonekena.
 
Wanapinga malipo ya DOWANS au wanaunga mkono hotuba ya JK ya tarehe 5 Feb 2011?
 
Nauliza swali kwa afande Kova, kwani mtandao wenu wa intelijensia umesemaje safari hii?
 
CUF imepoteza muelekeo sasa inachokifanya ni kama kujijenga upya kupitia maandamano na matamko ya kila kukicha ili ulimwengu utambue kuwa nao wapo na si sehemu ya CCM kama ilivyo visiwani.
Ndiyo maana hata humu JF sikuona watu wakikumbusha kuhusu kujuzana kwa ambao wangekuwepo eneo la tukio. Haya yote yanaratibiwa na J. Mtatiro ili angalau hiki chama kisife kifo cha mende!
 
Duh, hao KAVU wanaandamana kweli! ina maana CCM inajipinga yenyewe, hao ninavyojua ni CCM !!!!!!!!!!!!!!!!
 
WANAANDAMANA KWANI LEO IJUMAA......? aaah ndo maana wako wachache, wamesehau siku yao ya maandamano
 
Halafu hiyo si ajenda yao, yao ni ile ile ya kila siku, MAUAJI PEMBA sasa bahati mbaya ajenda hiyo imefunikwa na muafaka ambao wanauchekelea kumbe CCM imewazunguka. Kukosa elimu ni tatizo kubwa... You can easily be tricked like CUF.
 
Duh, hao KAVU wanaandamana kweli! ina maana CCM inajipinga yenyewe, hao ninavyojua ni CCM !!!!!!!!!!!!!!!!

CUF kama jumuiya ya CCM inafanya maigizo kama walivyofanya maigizo wenzao wa UVCCM. Wiki ijayo itakuwa ni maigizo ya UWT na ile nyingine tutashuhudia maigizo ya jumuiya nyingine yaani UDP
 
CUF wameonyesha njia tuwaunge mkono tuache unafiki wa kudhani hakuna jambo jema linaloweza kufanywa na chama kingine cha upinzani zaidi ya CDM.

Humu hatuungi mkono waislamu kamwe. Waislamu hawajasoma na sisi tumesoma kwa hivo wao hatuwezi kushirikiana nao.
 
Back
Top Bottom