CUF Waandamana Kuipinga DOWANS

Halafu hiyo si ajenda yao, yao ni ile ile ya kila siku, MAUAJI PEMBA sasa bahati mbaya ajenda hiyo imefunikwa na muafaka ambao wanauchekelea kumbe CCM imewazunguka. Kukosa elimu ni tatizo kubwa... You can easily be tricked like CUF.
Nimefuatilia thread toka juu, hamna kitu zaidi ya wivu na chuki za wazi zinazooneshwa na wapenzi wa CDM kwa CUF, Najua roho inawauma sana kwa CUF kuwa part ya serikali kwa Zanzibar, teh teh teh nyie wivu wa nini wakati wapiga kura wa CDM hawajafika hata 0.03% ya kura zote zilizopigwa Zanzibar?
acheni Ujivuni nyie wafuasi wa Maaskofu, ifike wakati sasa kwenye jambo la maendeleo kwa Umma liungwe mkono, nyie kila siku ni kupinga tu! ndo maana Nchi yetu itaendelea kuwa tia maji tia maji miaka Lukuki sababu hamna ushirikiano wa kweli kwa wapinzani.
 
haa wazee wa vibarashia kumbe chama bila kuvaa kibagarashia hujaandamana du kazi kweli kweli wazee wa siasa za mskitini walisema eti wakishindwa kumpa kura lipumba bora wampe jk kwa kuwa ni ustaadhi mwenzao eti watajizalilisha kuonekana maustaadhi hawajui kuongoza kwa kuwa kumpa kura mkristo slaha ambaye wanasema ni adui wa uislam cuf/ccm wazee walioanzisha siasa kidini misikitini kwamba adui yao ni wakristo poleni sana wazee wa ubwaba,pilipili hoho na ndizi zakusukumia
 
Nancy Tweed tafadhali sana usitusemee watanzania na wana-JF.
Mimi, na nina uhakika wapo watu wengi, wenye kufahamu na kuamini kuwa waisilamu ni watu makini na wenye sifa zote nzuri. Ukiambiwa utoe sababu za kutowa-support nina wsiwasi kama unaweza. Si vema kutoa maneno ya kujuisha watu kwa mfano wahaya wote ni.... wachaga wote ni.... wahehe wote ni... Hayo majumuisho wote tunajua si kweli

Watanzania tumeoana waisilamu na wakristo, tunashirikiana kwenye kwenye raha na shida na juu ya yote tuna matumaini na ndoto moja ya maisha bora na Amani kwa mama TANZANIA.

Tafadhali wapeni watoto na wajukuu wetu nafasi ya kuishi kwa upendo na sio chuki

Nancy iz Cuf by nature but trying to manipulate,and not Christian,Mamluki :puke:
 
CUF wameonyesha njia tuwaunge mkono tuache unafiki wa kudhani hakuna jambo jema linaloweza kufanywa na chama kingine cha upinzani zaidi ya CDM.Hongera CUF hongera J Mtatiro kazi mnayoifanya ni kubwa na ngumu ila ipo siku Tanzania yenye neema,haki,usawa kwa wote utaonekena.
Kuna uwezekano watu tusiwapende CUF kwa sababu yoyote ile ila sababu iliowafanya waandamane ni zuri kwa inalenga kutetea maslahi ya kila mmoja wetu kama jamii.

Nawaunga mkono kwa hilo jema bila kuzuiliwa na ukungu wa historia yao. Wana CUF hongereni.
 
Back
Top Bottom