CUF kutoshiriki maadhimisho ya mapinduzi ya Zanzibar

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,733
239,339
Msimamo huo umetolewa na Mkurugenzi wa Habari , uenezi na Mawasiliano ya umma , Salim Bimani alipokuwa akitoa tathmini ya miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar na hali ya kiuchumi na kisiasa visiwani humo .

Chanzo - Nipashe .

Mytake - Naunga mkono uamuzi huu ili kuepuka siasa za aibu za CCM kama zilivyotokea msimu uliopita " CHOTARA HIZBU ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA "
 
Kwani walialikwa? Wangesubiri kwanza mwaliko ndiyo ndiyo wakatae, hata hivyo hawana umuhimu sana kwenye sherehe.
 
Kwani mangapi tunafanya bila ya uwepo wao na hakuna linaloharibika? Hata kwenye sherehe za Uhuru na Muungano hawakuhudhuria
 
Msimamo huo umetolewa na Mkurugenzi wa Habari , uenezi na Mawasiliano ya umma , Salim Bimani alipokuwa akitoa tathmini ya miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar na hali ya kiuchumi na kisiasa visiwani humo .

Chanzo - Nipashe .

Mytake - Naunga mkono uamuzi huu ili kuepuka siasa za aibu za ccm kama zilivyotokea msimu uliopita " CHOTARA HIZBU ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA "

Mimi nitaenda
 
Kwani walialikwa? Wangesubiri kwanza mwaliko ndiyo ndiyo wakatae, hata hivyo hawana umuhimu sana kwenye sherehe.
Ishu sio kualikwa ishu ni ya wazanzibar wote, wao wametoa msimamo wao tu kua hawashiriki, wana sababu zao Zamsingi,
#my take Naunga mkono asilimia mia wao kutoshiriki
 
Msimamo huo umetolewa na Mkurugenzi wa Habari , uenezi na Mawasiliano ya umma , Salim Bimani alipokuwa akitoa tathmini ya miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar na hali ya kiuchumi na kisiasa visiwani humo .

Chanzo - Nipashe .

Mytake - Naunga mkono uamuzi huu ili kuepuka siasa za aibu za CCM kama zilivyotokea msimu uliopita " CHOTARA HIZBU ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA "
Watamwalika Lipumba na wapambe wake!
 
Kutoshiriki ni sawa kwani CUF wanadai Yale mapinduzi yalikua batili. Wanataka Sultani arudi.
 
Usinikumbushe alipojipeleka kwenye sherehe za nchi gani sijui akapigwa benchi la nyuma uwanjani kuonesha sawa na diwani tu
Aliwekwa kiti kimoja na mgambo wa kata , ilikuwa comoro kama sijakosea , kukataliwa ni kubaya sana !
 
Back
Top Bottom