CUF kutoshiriki maadhimisho ya mapinduzi ya Zanzibar

Cuf ni chama mfu kwa Zanzibar hakina mbunge wala diwani na huu mvurugano kati ya Katibu na mwenyekiti ndo kbsa unakifuta kwenye ulimwengu wa siasa hata wasipo shiriki hapatakuwa na athali yoyote.
 
Msimamo huo umetolewa na Mkurugenzi wa Habari , uenezi na Mawasiliano ya umma , Salim Bimani alipokuwa akitoa tathmini ya miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar na hali ya kiuchumi na kisiasa visiwani humo .

Chanzo - Nipashe .

Mytake - Naunga mkono uamuzi huu ili kuepuka siasa za aibu za CCM kama zilivyotokea msimu uliopita " CHOTARA HIZBU ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA "
Safi kabisa.
 
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu .
 
Cuf ni chama mfu kwa Zanzibar hakina mbunge wala diwani na huu mvurugano kati ya Katibu na mwenyekiti ndo kbsa unakifuta kwenye ulimwengu wa siasa hata wasipo shiriki hapatakuwa na athali yoyote.
Hii inaonesha your ignorance. Unachupia mambo uliyokuwa huyajui mwanzo wala mwisho wake. Kakwambia nani kama CUF haina mbunge Zanzibar?
 
Msimamo huo umetolewa na Mkurugenzi wa Habari , uenezi na Mawasiliano ya umma , Salim Bimani alipokuwa akitoa tathmini ya miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar na hali ya kiuchumi na kisiasa visiwani humo .

Chanzo - Nipashe .

Mytake - Naunga mkono uamuzi huu ili kuepuka siasa za aibu za CCM kama zilivyotokea msimu uliopita " CHOTARA HIZBU ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA "
kwani wana wawakilishi huko zenji...hilo lichama lishapasuka...Prof anazidi kufanya siasa akina july wanabakia kuwa wabunge wa fb...they should change a strategy..
 
Kwani walialikwa kwenye hizo sherehe? Mbona juzi nimesikia smz wakisema hadharani kuwa hawatamualika Maalimu wala kiongozi yoyote wa CUF kwakuwa hawaitambui smz ya Shein
 
Haishangazi Kaburu akisusia Sherehe za Ukombozi wa South Africa!

Ushiriki wake ndio Breaking news!

Hivi Mtu Mwenye akili timamu anaanzaje kutangaza kususia Sherehe ambayo Mwenye Sherehe katangaza hadharani kutokukualika?
 
Msimamo huo umetolewa na Mkurugenzi wa Habari , uenezi na Mawasiliano ya umma , Salim Bimani alipokuwa akitoa tathmini ya miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar na hali ya kiuchumi na kisiasa visiwani humo .

Chanzo - Nipashe .

Mytake - Naunga mkono uamuzi huu ili kuepuka siasa za aibu za CCM kama zilivyotokea msimu uliopita " CHOTARA HIZBU ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA "
Hiyo ni kawaida yao wala haitaleta athari yoyote,wakae nyumbani wasubiri kupata urais wa mezani
 
Msimamo huo umetolewa na Mkurugenzi wa Habari , uenezi na Mawasiliano ya umma , Salim Bimani alipokuwa akitoa tathmini ya miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar na hali ya kiuchumi na kisiasa visiwani humo .

Chanzo - Nipashe .

Mytake - Naunga mkono uamuzi huu ili kuepuka siasa za aibu za CCM kama zilivyotokea msimu uliopita " CHOTARA HIZBU ZANZIBAR NI YA WAAFRIKA "
Tambala la deki,Zanzibar ni Africa.
 
Ungejua kwanini leo Mh Shein anakuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa mradi wenye gharama ya tsh elfu 80 usingethubutu kutia pua hapa .
Hahahaha, tambala la deki bwana!Eti mradi wa elfu 80,hakika kuinamia tambala kweli kunakupa tabu siku hizi.Naambiwa ulizoeshwa Heineken bali nowadays unapewa tu coca cola na unalalamika unatumika kuliko;hahahaha!
 
Back
Top Bottom