CUF: Kutoka nje Bungeni, si kukiuka kanuni za Bunge?

Amiliki

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,085
1,004
Hawa Jamaa zangu walinifurahisha sana jana waliposusia bunge na kuamua kutoka nje kupinga maelekezo ya Spika aliyowataka wasubiri kwanza ili wapate taarifa kwanza za ajali ndipo wapange cha kufanya.

CUF, kama Mke wa Mabwepande, wamekuwa wakitoa maneno ya kejeli sana hasa pale, CDM walipokuwa wanaamua kutoka nje ya Bunge ili kupinga jambo ambalo wanaloliona kwamba haki haitendeki na kuendelea kukaa ni sawa na kubariki ufe-dhuli huo. CUF walikuwa wanatoa matamko ya kuilaani CDM kwa kutokufuata kanuni za Bunge ambazo haziruhusu wabunge kutoka na kususia kikao cha Bunge, bali waendelee kukaa kwa kuwa hawaruhusiwi na kanuni kususa.

Je kilichotokea jana, ni kwamba zile kanuni zimebadilishwa ama!
 
Amiliki "Liwalo na Liwe" Mizengo Kayanza Peter Pinda; Waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania; 2008 - and counting; what goes around comes around! . ........ potelea mbali ndoa ivunjike; who cares.
 
Last edited by a moderator:
CDM walifanya hilo kwa muda sasa na naoana CUF sasa wameanza kuwaelewa chadema
 
Nategemea mpaka ifike 2014 CUF watakuwa wameshapata elimu tosha na kutambua kwamba CDM wanaona mbali na huwa wanafanya vitu vyenye akili. Sintoshangaa nikikuta nao wanaanza kuvaa magwanda kama Nape na Malisa.
 
Tatizo ikizungumzwa CUF wengine mnapoteza akili na fahamu kuwapotea.

Misimamo ya CUF ni ngangari ukilinganisha hiyo ya mashoga wawili mmoja kavaa kaki mmoja nguo yake kaipaka kijani,na tunapowaambia kwaherini basi jaribuni kuelewa dalili zake.WaZanzibari wakitoka bungeni wanapo pa kwenda ,hivi nyie mkitoka mnapo ? Lazima mtarudi tu !
 
Hamad rashid bado ni mwanachama wa cuf? Maana jana ndo alitoa hoja Na ikaungwa mkono na wabunge wa cuf.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Tatizo ikizungumzwa CUF wengine mnapoteza akili na fahamu kuwapotea.

Misimamo ya CUF ni ngangari ukilinganisha hiyo ya mashoga wawili mmoja kavaa kaki mmoja nguo yake kaipaka kijani,na tunapowaambia kwaherini basi jaribuni kuelewa dalili zake.WaZanzibari wakitoka bungeni wanapo pa kwenda ,hivi nyie mkitoka mnapo ? Lazima mtarudi tu !

kwani ukijadili bila kutukana unakufa!
 
Kuungwa mkono kwa hoja ya Hamad ni ushindi dhidi ya Maalim?!
Poleni sana Wazenji kwa msiba, poleni sana majirani zetu.
 
Tatizo ikizungumzwa CUF wengine mnapoteza akili na fahamu kuwapotea.

Misimamo ya CUF ni ngangari ukilinganisha hiyo ya mashoga wawili mmoja kavaa kaki mmoja nguo yake kaipaka kijani,na tunapowaambia kwaherini basi jaribuni kuelewa dalili zake.WaZanzibari wakitoka bungeni wanapo pa kwenda ,hivi nyie mkitoka mnapo ? Lazima mtarudi tu !

Ama kweli nimeamini kuwa unafikiri kwa kutumia MASABURI!
 
Wana jivunga tu msimba ukiisha utawasikia wanaanza kuwaponda cdm!
 
Tatizo ikizungumzwa CUF wengine mnapoteza akili na fahamu kuwapotea.

Misimamo ya CUF ni ngangari ukilinganisha hiyo ya mashoga wawili mmoja kavaa kaki mmoja nguo yake kaipaka kijani,na tunapowaambia kwaherini basi jaribuni kuelewa dalili zake.WaZanzibari wakitoka bungeni wanapo pa kwenda ,hivi nyie mkitoka mnapo ? Lazima mtarudi tu !
Kumbe ukitaja CUF unamaanisha Zanzibar? basi pole zao Pro. Lipumba na Mtatiro hawajui wako kwenye kapu gani.
 
Sasa pale mnapoandika CUF ni mke mnakuwa mnasoma bibilia au Qurani.
Kwani kuwa Mke wa mtu ni tusi? CUF ni mke wa CCM kwa vile inapokea maelekezo yote kwao. Na iko amri kuwa wake wawatii waume zao.
 
Sasa kuwa mashoga matusi ? CCM na CDM mashoga kwa vile hukaa wakapashana pale bungeni wakitoka lao moja.
 
Back
Top Bottom