tabu kuishi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 353
- 43
Ndugu yangu kwani wewe unaishi nchi gani? kwani hata wafuasi wachadema wengi wao wamekaa kwenye vijiwe vya mbege tu au aina zingine za pombe mataputapu. Na wasiwasi na uraia wako. mfano nenda kaangalie machalii pale arusha wanachokifanya sasa hivi.Nashindwa kuelewa chama cha cuf kina matatizo gani? Kwa nini wafuasi wake wengi ni kundi la watu mbumbu wasio na uwezo wa kufikiri wala kutafakari na watu wasio nakazi wakaa vijiweni kama huamini nenda manzese darajani kuna tawi pale kika na kuwasikiliza utasema CUF ni chama chenye nguvu kumbe ni chama kinachosubiri siku zifike kifutike?
wewe mimi ni mzaramo nilioendeleya huna haki ya kuhoji urai wangu wewe!!! Hama chama cha kipuuzi haya mia kwa wajanja hamna mjanja aliye cuf tembeya uone kaka!ndugu yangu kwani wewe unaishi nchi gani? Kwani hata wafuasi wachadema wengi wao wamekaa kwenye vijiwe vya mbege tu au aina zingine za pombe mataputapu. Na wasiwasi na uraia wako. Mfano nenda kaangalie machalii pale arusha wanachokifanya sasa hivi.
nikutoelewa tu vijiweni ndipo mambo yanafanyika hata Cdm inawafuasi wasio wasomi napia wapo vijiweni vivyo hivyo ccm, na cuf, wangekuwa pale manze cdm usingesema na k/koo wala msinge sema mnatamani sana cuf ife na ifi n'go. Minipo makumbusho huku cuf ipo kinoma na diwani wetu cuf pia jirani zetu tandale nao pia cuf kinoma nadiwani wao pia ni cuf. Acha kuongea upumbavu mjinga we ina maana makumbusho hakuna wasomi fisi we.
Nashindwa kuelewa chama cha cuf kina matatizo gani? Kwa nini wafuasi wake wengi ni kundi la watu mbumbu wasio na uwezo wa kufikiri wala kutafakari na watu wasio nakazi wakaa vijiweni kama huamini nenda manzese darajani kuna tawi pale kika na kuwasikiliza utasema CUF ni chama chenye nguvu kumbe ni chama kinachosubiri siku zifike kifutike?
Nashindwa kuelewa chama cha cuf kina matatizo gani? Kwa nini wafuasi wake wengi ni kundi la watu mbumbu wasio na uwezo wa kufikiri wala kutafakari na watu wasio nakazi wakaa vijiweni kama huamini nenda manzese darajani kuna tawi pale kika na kuwasikiliza utasema CUF ni chama chenye nguvu kumbe ni chama kinachosubiri siku zifike kifutike?
wewe mimi ni mzaramo nilioendeleya huna haki ya kuhoji urai wangu wewe!!! Hama chama cha kipuuzi haya mia kwa wajanja hamna mjanja aliye cuf tembeya uone kaka!
CUF ni mtambo wa kuzalisha siasa za maji ya chooni. Mtatiro ana kinywa kichafu anashiriki kuendesha siasa za maji ya chooni na ndo chanzo cha kufa kwa CUF bara.Nashindwa kuelewa chama cha cuf kina matatizo gani? Kwa nini wafuasi wake wengi ni kundi la watu mbumbu wasio na uwezo wa kufikiri wala kutafakari na watu wasio nakazi wakaa vijiweni kama huamini nenda manzese darajani kuna tawi pale kika na kuwasikiliza utasema CUF ni chama chenye nguvu kumbe ni chama kinachosubiri siku zifike kifutike?
Wewe ni kilaza fanya tathimini kujua ni chama gani cha watu walioenda shule...bila shaka utakuja na jibu kuwa ni CDMNdugu yangu kwani wewe unaishi nchi gani? kwani hata wafuasi wachadema wengi wao wamekaa kwenye vijiwe vya mbege tu au aina zingine za pombe mataputapu. Na wasiwasi na uraia wako. mfano nenda kaangalie machalii pale arusha wanachokifanya sasa hivi.