meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
mtaji wa cuf arumeru ni pale maeneo ya usa tu
mtaji wa cuf arumeru ni pale maeneo ya usa tu
mtaji wa cuf arumeru ni pale maeneo ya usa tu
Hiyo CUF yenyewe huko Arumeru watu wengi hawaijui :A S embarassed:
usa unayoisemea wewe ni ngome ya chadema
Hivi mbona mnawaogopa CUF zaidi kuliko CCM?
Go Go Mtatiro, wasikukatishe tamaa[/QUO HAPO MTU ANAFIKIRIA ATAPATA CHA JUU KUNA ISSUE YA GHARAMA ZA MAFUTA , KULIPA MAOFISA WACHAMA , KUKODI NDEGE . ALIVYOTOKA IGUNGA ALINUNUWA GARI NA AKITOKA ARUMERU ATAMNUNULIA DEMU WAKE GARI?? HONGERA MTATIRO KWA KUWA MJASIRIAMALI
Chadema mlipata hizo huko uzini unguja?
usa ni eneo lenye waislamu wengi hapo arumeru.usa unayoisemea wewe ni ngome ya chadema
usa ni eneo lenye waislamu wengi hapo arumeru.
siyo wote
usa ni eneo lenye waislamu wengi hapo arumeru.
Majority ni chadema,
Unaijua vizuri usa ya leo?
Kwahiyo milimani kwenye wakristo wengi ndio wanawapenda chadema?
Ndio maana ni muhimu kushiriki ili ijulikane; wengi tu hawapendi chadema wala ccm, then wanakuwa na option CUF
Naibu Katibu mkuu wa CUF Julius Mtatiro,amesema amepeleka timu maalum ya maafisa wa CUF kufanya uchunguzi wa jinsi chama hicho kinavyokubalika ili kujiandalia mazingira mazuri ya kukitwaa kiti hicho.Mtatiro amesema kila kitu kinakwenda sawa na wamejipanga kikamilifu kutwaa jimbo hilo.Pia ana imani kubwa na wananchi wa Arumeru Mashariki.
Source:Nipashe
Nadhani wanaingia kwenye uchaguzi wakijua mpinzani wao ni CDM na siyo CCM
Kwani kumeongezeka nini usa? na ya jana.
Kalagha bao ; hawa wanaota mchana kweupeee! Hebu na tuone kwani ni kesho kutwa tu. CUF imepoteza uhalali wa kuongoza raia baada ya kujichanganya
Nilichotaka ujue ni kuwa, ingawa usa kuna waislamu kama ulivyosema lakini idadi yao si kubwa sana na haina maana kuwa wote ni wafuasi wa CUF! ndiyo maana nikasema usa ni moja ya ngome za chadema