CUF inajiandaa kuchukua Arumeru Mashariki-Mtatiro

Hivi mbona mnawaogopa CUF zaidi kuliko CCM?

Go Go Mtatiro, wasikukatishe tamaa[/QUO HAPO MTU ANAFIKIRIA ATAPATA CHA JUU KUNA ISSUE YA GHARAMA ZA MAFUTA , KULIPA MAOFISA WACHAMA , KUKODI NDEGE . ALIVYOTOKA IGUNGA ALINUNUWA GARI NA AKITOKA ARUMERU ATAMNUNULIA DEMU WAKE GARI?? HONGERA MTATIRO KWA KUWA MJASIRIAMALI

Chadema mlipata hizo huko uzini unguja?
 
Naibu Katibu mkuu wa CUF Julius Mtatiro,amesema amepeleka timu maalum ya maafisa wa CUF kufanya uchunguzi wa jinsi chama hicho kinavyokubalika ili kujiandalia mazingira mazuri ya kukitwaa kiti hicho.Mtatiro amesema kila kitu kinakwenda sawa na wamejipanga kikamilifu kutwaa jimbo hilo.Pia ana imani kubwa na wananchi wa Arumeru Mashariki.

Source:Nipashe

Kalagha bao ; hawa wanaota mchana kweupeee! Hebu na tuone kwani ni kesho kutwa tu. CUF imepoteza uhalali wa kuongoza raia baada ya kujichanganya
 
Kwani kumeongezeka nini usa? na ya jana.

Nilichotaka ujue ni kuwa, ingawa usa kuna waislamu kama ulivyosema lakini idadi yao si kubwa sana na haina maana kuwa wote ni wafuasi wa CUF! ndiyo maana nikasema usa ni moja ya ngome za chadema
 
Kalagha bao ; hawa wanaota mchana kweupeee! Hebu na tuone kwani ni kesho kutwa tu. CUF imepoteza uhalali wa kuongoza raia baada ya kujichanganya

Kivipi? kwasababu wanaeenda kushiriki uchaguzi arumeru? mbona uzini mlienda wakati mnajua fika mtaambuli patupu..usiwakatishe tamaa CUF
 
Nilichotaka ujue ni kuwa, ingawa usa kuna waislamu kama ulivyosema lakini idadi yao si kubwa sana na haina maana kuwa wote ni wafuasi wa CUF! ndiyo maana nikasema usa ni moja ya ngome za chadema

Kwani nani kasema waislamu ni wafuasi wa CUF? au chadema ni wakristo ni wafuasi wa chadema?

Nimesema kuna wafuasi wa CUF usa sijataja dini zao, wewe ndio umekuja na mambo yako ya udini..mimi naifahamu usa majority ni ccm, lakini CUF wakimuweka mgombea mzuri atavuna kura tu..
 
Back
Top Bottom