CUF inajiandaa kuchukua Arumeru Mashariki-Mtatiro

Kwani chadema wanashindan na CUF au ccm? sasa mbona wanawaogopa CUF..

chadema haiwezi kuogopa cuf au ccm zaidi hivyo vyama viwili ndio vinachanganyikiwa wakisikia chadema inakuja na ndio maana hawaishi kuzikopi sera na hoja za chadema, ebu jiulize kama kuna siku chadema walishawahi kuidandia hoja au sera ya chama chochote kati ya hivyo viwili
 
Ndoto za abunuasi kama zanzibar wameshindwa bara si ndo watadondokea pua kabisa
 
Usa ni ccm kwa tshirt.2010 lema alichukua ar town kwa staili iyo iyo.usa unayosema ni maggamba ni chadema full chalii angu.wameru 2naenda na wakati
 
Maggamba hamuwezi kuwadanganya wameru,kule kama unaona tshirt ni vazi 2 walilopewa bure na wanaingia nayo migombani,isiwe ndo kidhibiti.shame on maggg
 
Ndugu,

Nilifundishwa hivi;
Arumeru Mashariki + CDM = 74%
Arumeru Mashariki + CCM = 17%
Arumeru Mashariki + CUF = 09%

Labda Mtatiro atueleze ana au CUF wana mtaji kiasi gani Arumeru Mashariki

Kutegemea kitu kinachoitwa mtaji ndo kilichowaponza CUF Igunga.

So take CARE.
 
Muda wa kula hela za helicopter umefika. Mtatiro chenji ya Igunga hajarudisha, anaenda kuongoza kampeni nyingine.
 
Nawashauri wasipoteze fedha kwenda Arumeru maana trend inaonekana iko agaist them. Igunga zilipungua kura, Uzini zimepungua kuliko walivyopata 2010. Kwa chama makini hiyo ni dalili tosha kuwaambia wasivamie chaguzi bali waanze upya kujiuza kwa wananchi, yaani STATUS QUO ANTE. Labda kwa vile lengo lao ni kuipigia kampeni CCM A wataenda tu bila kujali hasara, after all hela ya kampeni si inatoka kwa baba watoto

Ni aibu kubwa kwa cuf kwani miaka ya mwanzoni ya 2000 kilikuwa active sana,hivi sasa kwa kuungana na CCM A Kimekuwa na teit a teit dhidi ya upinzani wa kweli.MOTO WA CDM ARUMERU MASH.USIPIME NA TUSUBIRI TUONE.
 
Naibu Katibu mkuu wa CUF Julius Mtatiro,amesema amepeleka timu maalum ya maafisa wa CUF kufanya uchunguzi wa jinsi chama hicho kinavyokubalika ili kujiandalia mazingira mazuri ya kukitwaa kiti hicho.Mtatiro amesema kila kitu kinakwenda sawa na wamejipanga kikamilifu kutwaa jimbo hilo.Pia ana imani kubwa na wananchi wa Arumeru Mashariki.

Source:Nipashe
Mh! Huyu Mtatiro ana Mapepo? yaani hata asihangaike na mambo ya Arumeru Mashariki, zaidi sana anaweza kuumia!
A%20S%20embarassed.gif
 
hata wikiachiwa wagombee na CKK au PONA bado watashindwa vibaya, CUF ia a dying horse ile kujiunga na Magamba walikubali natural death!!
 
propaganda za mtatiro zinanikumbusha zile za mheshimiwa tariq aziz aliyekuwa foreign minister wakati wa utawala wa sadam hussein... full usanii
 
Back
Top Bottom