CUF inajiandaa kuchukua Arumeru Mashariki-Mtatiro

CUF inajiandaa kuchukua Arumeru Mashariki-Mtatiro

Mimi nimeshakata Tamaa wapinzani wanaenda kwenye chaguzi kutukanana wao kwa wao, hawana mbinu za kuwadhibiti wezi wa Kura kila wakati wananchi wamewambia mbinu zote wanazotumia CCM kwa wizi lakini hawana hata mbinu za kudhibiti wizi ,tumechoka nao,majigambo tuu bila la maana tunaloliona utasikia basi tunalinda amani ya nchi amani ya nchi mawe ,munawaacha wezi ,majambazi makubwa wanaotapanya rasilmali za nchi kutokuwafika walengwa,wezi waliosababisha nchi yetu iwe ya mwisho kwa vigezo vya elimu duniani
Maskini wa kiafya,nchi ya tatu toka chini kwa umaskini,
Wapinzani ni madondoch kama tulivyo wananchi wengine tunaoangalia waporaji wakijineemesha kwenye vyeo vyao
 
Naitamani sana burudani ya arumeru mashariki.Nitajipa likizo ya siku 22 nifuatilie kampeni hatua kwa hatua.
Ikitokea CHADEMA imeshindwa nahamia hifadhi ya serengeti nikaishi na fisi.
 
cuf ishapoteza sifa yakuchaglika,kama znz wa3 huko watakua wangapi! samaki akishindwa majini ajue huku nchi kavu ni kitoweo,yyte anae sema cuf inaenda shinda arumeru ana anza kuandaa u richmond mwingine,watoto wa mjini husema mshike mshike ndege 2nduni wale wajanja wamekimbia,wale mandina wata................
 
uwanja wao, refa wao lakini haohao ndio waliokota mpira kwenye nyavu zao pale Uzini.
Mtatiro this time ukikodi chopa hakikisha unarudisha chenchi.
 
Mimi nimeshakata Tamaa wapinzani wanaenda kwenye chaguzi kutukanana wao kwa wao, hawana mbinu za kuwadhibiti wezi wa Kura kila wakati wananchi wamewambia mbinu zote wanazotumia CCM kwa wizi lakini hawana hata mbinu za kudhibiti wizi ,tumechoka nao,majigambo tuu bila la maana tunaloliona utasikia basi tunalinda amani ya nchi amani ya nchi mawe ,munawaacha wezi ,majambazi makubwa wanaotapanya rasilmali za nchi kutokuwafika walengwa,wezi waliosababisha nchi yetu iwe ya mwisho kwa vigezo vya elimu duniani
Maskini wa kiafya,nchi ya tatu toka chini kwa umaskini,
Wapinzani ni madondoch kama tulivyo wananchi wengine tunaoangalia waporaji wakijineemesha kwenye vyeo vyao

Mkuu Froida sijawahi kusikia CHADEMA ikitukana chama chochote cha upinzani zaidi kuelekeza mashambulizi yake kwa CCM,kinyume chake CUF ndiyo wamekuwa wakiikashifu sana CHADEMA na CHADEMA haijawahi kujibu mapigo,rejea uchaguzi mdogo wa Igunga,CUF walikuwa wakiisakama sana CDM na CDM hawakuwahi kujibu tuhuma zozote dhidi yao,CDM walikuwa na jibu moja tu kwamba..CUF siyo saizi yao...So hupaswi kukata tamaa mkuu...Support CDM kwa hali na mali...mwombe Mungu...nauelewe CDM ndiyo tumaini pekee tulilobakiza wa tz wenye uchungu na nchi...vyama vingine vyoote ni mamluki wa CCM..Ila yote haya yana mwisho mkuu...Uskate tamaa ...tupambane.
 
CUF ilishakufa kitambo sana,Mtatiro anajaribu kufufua maiti inayoanza kuoza.
 
Naibu Katibu mkuu wa CUF Julius Mtatiro,amesema amepeleka timu maalum ya maafisa wa CUF kufanya uchunguzi wa jinsi chama hicho kinavyokubalika ili kujiandalia mazingira mazuri ya kukitwaa kiti hicho.Mtatiro amesema kila kitu kinakwenda sawa na wamejipanga kikamilifu kutwaa jimbo hilo.Pia ana imani kubwa na wananchi wa Arumeru Mashariki.

Source:Nipashe

Mkuu mtatiro are you serious, anyway hebu muulize Jusa ili akupe tathmini yake maana asije sema tena tulijua hatuwezi kushinda ndo maana tukatumia million 2.
 
Ni njia nyingine ya Mtatiro kutaka kula pesa kama alivyofanya Igunga, Naona sasa njaa inampeleka pabaya. CUF imeshindwa kukubalika UZINI ambako ni karibu na nabii wa CUF (maalim siaf) itakubalikaje Arumeru.
 
Back
Top Bottom