CUF iko wapi?

Unapigwa nakoz nyumbani kwako mpaka unatoka nundu,nextime watapigwa wote mume na mke mpaka wahame nyumba, HONGERA SANA CHADEMA mwanzo mzuri huu.
 
Naona Chadema wanajiliwaza na Cuf baada ya kuchezea kichapo Uzini...Haa! Haaa! Haaaa!!
 
Okey,...
nilisema hapa chadema haiwezi kushinda zanzibar
bali uchaguzi huu uta wasaidia sana kujijenga huko.

"Mashabiki" wa chadema via computer wakawa wakali kweli.
haya sasa.

Watu kama nyie wenye fikra za kizamani eti nilisemaga kwani wewe Mungu? Au ndo walewale mlikuwa mnakesha makaburini uchi ili kauli zenu zitimie
 
Watu kama nyie wenye fikra za kizamani eti nilisemaga kwani wewe Mungu? Au ndo walewale mlikuwa mnakesha makaburini uchi ili kauli zenu zitimie

taratibu ndugu, ni majadiliano tu sasa iweje unaenda 'extra miles' kiasi hicho, lol!
 
Huu ni mwanzo mzuri kwa CHADEMA huko visiwani, one day watanzania wataelewa ubora wa chama hiki. Natoa pole kwa CUF anyway :A S embarassed::A S embarassed:
 
Kura zoote ambazo wamezipa CDM wamepewa na Waruguru ambao walipatiwa Vitambulisho vya Uzanzibari na CCM. Mzanzibari mwenye akili timamu hawezi hata siku moja kuipa kura CHADEMA. By the way CUF ni Silence Fighters ombeni Mungu awaweke hadi 2015 muje mushuhudie jinsi CUF itakavyo wasulubu watu.
 
Mbona CUF mmeshindwa kuzipata hizo kura za waruguru? hamzitaki au mmeshindwa kuuza sera vema.
 
Back
Top Bottom