CUF hatutayumbishwa na nyodo zenu

CUF hatutayumbishwa na nyodo zenu

mahwelu

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
322
Reaction score
253
Ndugu wanajamvi, nimehuzunishwa sana na jinsi ambavyo CUF na viongozi wetu wamekuwa wakibezwa na kuzodolewa na wafuasi na washabiki wenzetu wa UKAWA.

Kimsingi suala la sisi kuamua kukutana na kuweka maamuzi ya kichama ndio msingi imara wa kidemocrasia. Chama sio mtu mmoja kama ambavyo mnapenda tuamini. Prof lipumba hayupo juu ya sheria ya cuf. Tunaongozwa na katiba na maamuzi yetu tunaheshimu matakwa ya watu wetu.

Kwamsingi huu hakuna sababu ya wanachadema/nccr kutubeza. Kwenu wenzetu mmebahatika kwamba mkiamua kitu wafuasi wenu wanafuata tu hatakama mnawaburuza. huku kwetu hatuishi hivyo so naomba mtuheshimu.

Mnasema sisi ni wadini wabaguzi nk... kama nihivyo why mliungana na sisi hamkujua? ndio maana tunapata shaka uthabiti wa nia yenu katika muungano wetu... huenda ni kweli mnataka kupanda kupitia sisi then baadae mtugeuke...

Please tuacheni tufanye vikao vyetu kama katiba inavyotaka.

Nangu Mahwelu
 
Yaani muda wote huu toka mwaka jana ndo vikao muanze kufanya leo,si bure mmepata kitu kidogo,tena vikao vianze baada ya CCM kupata mgombea why? Si bure hapa

Tuheshimiane Mkuu... Cuf ndiyo chama pekee ambacho hatujapata kashfa juu ya matumizi ya pesa pia rushwa... wengine issue ya pesa wamevurugana sana.
 
tuheshimiane mkuu... Cuf ndiyo chama pekee ambacho hatujapata kashfa juu ya matumizi ya pesa pia rushwa... Wengine issue ya pesa wamevurugana sana.
teh teh kumekucha...cuf msisahau mliitwa waliberi na chadema..
yaani muda wote huu toka mwaka jana ndo vikao muanze kufanya leo,si bure mmepata kitu kidogo,tena vikao vianze baada ya ccm kupata mgombea why? Si bure hapa
 
nyie mbona hadi sasa hamja pata mgombea urais? Cuf ni wasaliti ? Lipumba kahongwa zile billion 30 za Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
CUF acheni ubabaishaji...Mnarihidhisha U CCM-B wenu sasa. Kwani wakati kura zinapigwa ndani ya UKAWA akachaguliwa Dr. Slaa hamkujua mlihitaji ridhaa ya watu wenu kushiriki kupiga kura? Je, angekua amechaguliwa Prof. Lipumba bado mngekataa na kusema haturidhii Prof. apeperushe bendera ya UKAWA hadi wana CUF watoe ridhaa????
 
Ndugu wanajamvi, nimehuzunishwa sana na jinsi ambavyo Cuf na viongozi wetu wamekuwa wakibezwa na kuzodolewa na wafuasi na washabiki wenzetu wa UKAWA. Kimsingi suala la sisi kuamua kukutana na kuweka maamuzi ya kichama ndio msingi imara wa kidemocrasia. Chama sio mtu mmoja kama ambavyo mnapenda tuamini. Prof lipumba hayupo juu ya sheria ya cuf. Tunaongozwa na katiba na maamuzi yetu tunaheshimu matakwa ya watu wetu.
Kwamsingi huu hakuna sababu ya wanachadema/nccr kutubeza. Kwenu wenzetu mmebahatika kwamba mkiamua kitu wafuasi wenu wanafuata tu hatakama mnawaburuza. huku kwetu hatuishi hivyo so naomba mtuheshimu.

Mnasema sisi ni wadini wabaguzi nk... kama nihivyo why mliungana na sisi hamkujua? ndio maana tunapata shaka uthabiti wa nia yenu katika muungano wetu... huenda ni kweli mnataka kupanda kupitia sisi then baadae mtugeuke...

Please tuacheni tufanye vikao vyetu kama katiba inavyotaka.

Nangu Mahwelu

Hakuna mwana CUF atakaye post upumbavu kama huu....... Wewe siyo mwana CUF, bali unataka kutumia mwamvuli wa CUF kuivuruga UKAWA..... Wewe ni mpumbavu
 
TAHADHARI
Huyu ni mwana CCM anataka kutumia mbinu za kizamani kuwachonganisha UKAWA. Mpuuezeni. CCM ina vijana wengi wasio na kazi wanaolipwa kwa kubuni habari za kizushi ili kuchonganisha vyama vya upinzani.
 
Tushindane kwa hoja sio matusi... serikali ya kitaifa zanzibar ipo kisheria na imeleta ufanisi na amani zanzibar. kama mnatutakia mema mlitakiwa mtusifie kuishi kwa amani.

Kuhusu kujitoa UKAWA siyo kweli. sisi ndio waasisi wa ukawa muulizeni dr.slaa atawaambia role ambayo cuf imeplay. Tatizo kubwa hapa ni kwamba mmeaminishwa kwamba bila slaa hatushindi huo ni woga na upumbavu maana mmepumbazwa na propaganda.
 
CUF acheni ubabaishaji...Mnarihidhisha U CCM-B wenu sasa. Kwani wakati kura zinapigwa ndani ya UKAWA akachaguliwa Dr. Slaa hamkujua mlihitaji ridhaa ya watu wenu kushiriki kupiga kura? Je, angekua amechaguliwa Prof. Lipumba bado mngekataa na kusema haturidhii Prof. apeperushe bendera ya UKAWA hadi wana CUF watoe ridhaa????
Bavicha mbona mmepanic? Mbona nyie mtachagua mgombea Urais Agosti? Nyie mmezoea kuburuzwa kwa hiyo msidhani na wana CUF ni kama nyie!
Hakuna mwana CUF atakaye post upumbavu kama huu....... Wewe siyo mwana CUF, bali unataka kutumia mwamvuli wa CUF kuivuruga UKAWA..... Wewe ni mpumbavu
 
...... Kwenu wenzetu mmebahatika kwamba mkiamua kitu wafuasi wenu wanafuata tu hatakama mnawaburuza.

Nangu Mahwelu
Wanaochangia humu si wana UKAWA bali ni watanzania kwa ujumla wao - utakuwa umefanya kosa kubwa kuwahukumu CHADEMA na NCCR wakati huna uhakika wachangiaji wa humu ni kina nani!!

Hata hivyo ilikuwa hakuna haya ya kufikia huko ulipofika, na sidhani kama wewe ni mwanakafu kiongozi mwandamizi, sababu usingeandika utumbo huu.
 
Tuheshimiane Mkuu... Cuf ndiyo chama pekee ambacho hatujapata kashfa juu ya matumizi ya pesa pia rushwa... wengine issue ya pesa wamevurugana sana.

Chadema inaringa sababu imeshatolewa posa na mafisadi-makapi ya CCM
 
All what CUF is planning to do is to play "Religion Card". Mmeona kwamba CCM wamesimamisha mgombea mkristo na UKAWA wameweka Mkristo, sasa mkaona mjitoe ili mgombea wenu Muislam apewe kura za huruma na waislam... Hiyo strategy ni mbaya mbaya mno ndugu zangu. Mnajua hatahivyo kura atakazopewa prof Lipumba hazitatosha kumpa uraisi lkn mnadhani kura zitakua nyingi kiaasi cha kuwafanya mpate zuruku kubwa kuliko mnayoipokea sasa. Nakuhakikishie kwa mtindo huo hatutapata Katiba ya wananchi ambayo watanzania wanaisubiria toka kwenu. Na CUF hamtaaminika tena na vyama vingine isipokua CCM tu..
 
Tuheshimiane Mkuu... Cuf ndiyo chama pekee ambacho hatujapata kashfa juu ya matumizi ya pesa pia rushwa... wengine issue ya pesa wamevurugana sana.

Wamevurugana na mamayako?

Kama issue ya pesa wamevurugana kama unavyojidai, halafu serikali pamoja na vyombo vya dola vikashindwa kuvichukulia hatua hivyo vyama kuna sababu gani ya hiyo serikali kuendelea kutawala wakati hawawezi kuongoza?

Narudia tena... Wewe ni Mpumbavu
 
Back
Top Bottom