ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,789
- 42,319
- Thread starter
- #721
Si unajua wapare sie 🤣🤣Kama za babu yako🤣
Si unajua wapare sie 🤣🤣Kama za babu yako🤣
Mpare wa kuchovya , urewedi ? Holla😅Si unajua wapare sie 🤣🤣
😂😂😂,ungeingilia kati nawe😁Kuna sehemu nimeona mkaka kamtaja mdada wamechombezana kiaina.
Nimeona wivu ndo nikagundua kumbe namcrush huyo kaka kwa mbaliii
Mimi wewe sikuamini kabisa 🤣🤣Kuna sehemu nimeona mkaka kamtaja mdada wamechombezana kiaina.
Nimeona wivu ndo nikagundua kumbe namcrush huyo kaka kwa mbaliii
Walikua serious wenyewe! Kijana sio Gen z naingiaje kichwakichwa😂😂😂,ungeingilia kati nawe😁
KwaniniMimi wewe sikuamini kabisa 🤣🤣
Hivi kwanini huamini lol 😆Mpare wa kuchovya , urewedi ? Holla😅
Tutakufatilia na hakuna kitu atafanyaMsinifuatile Nina presha😜
Naamini ila wa kuchovya hajui lugha yakoHivi kwanini huamini lol 😆
Naona una chai nyingi🤣🤣Kwanini
Hapo huwezi kuingia kichwakichwa,hapo Sasa inabidi umfuatilie😂Walikua serious wenyewe! Kijana sio Gen z naingiaje kichwakichwa
Tatizo nasema ukweli wa moyo wangu na wewe umezoea kudanganywaNaona una chai nyingi🤣🤣
Muda wa kumfatilia ndo sina sasaHapo huwezi kuingia kichwakichwa,hapo Sasa inabidi umfuatilie😂
🏃🏿♀️🏃🏿♀️😁Tutakufatilia na hakuna kitu atafanya
Makuzi tu bwashee😅Naamini ila wa kuchovya hajui lugha yako
😁😁😁😁,Muda wa kumfatilia ndo sina sasa
JifunzeMakuzi tu bwashee😅
Nashindwa kuelewaaa🤣🤣Tatizo nasema ukweli wa moyo wangu na wewe umezoea kudanganywa