Zambotti
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,983
- 3,670
Sasa tuanzie wapi, na wakili msomi ndo yuko ubaoni.Tatizo mfungaji.. Vifaa havina shida kabisa
Jr[emoji769]
Em waulize wazee huko akina subi na subiani kwenye majabali ya ulozi wakupe jibu
Kwa mwenendo wa hii kesi sisi wakogea kopo wa huku temeke mwembe yanga haki yetu tutaipata kweli.