google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,870
mnaogea na dodoki ngumuuu sabuni mnatumia ya unga kuoga.Sasa tuanzie wapi, na wakili msomi ndo yuko ubaoni.
Em waulize wazee huko akina subi na subiani kwenye majabali ya ulozi wakupe jibu
Kwa mwenendo wa hii kesi sisi wakogea kopo wa huku temeke mwembe yanga haki yetu tutaipata kweli.
My country my country

.Kuna mahali hapapo sawa within the inner system.Hahahahaaaaa aya mambo bhanaTatizo mfungaji.. Vifaa havina shida kabisa
Jr![]()
Kaka tuchatVery deep,alafu kuna watu wanashabikia tu.
Ila ile speech ina maswali mengi sana ambayo majibu yake itabidi ujijibu mwenyew
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa inabidi ujiongozeHivi inawezekana mgonjwa wa Corona aliyepo karantini akatolewa na kupelekwa hospital nyingine
JAMAA LIONGO SANA LILE HALAFU HALINA AIBU....MENTAL DISORDER.(1) Wakili:Unakubaliana na mimi kuwa tuna maabara moja tu ya kupima virus vya Korona hapa Tanzania.
Mheshimiwa: Ndio
(2) Wakili:Na unakubaliana na mimi kuwa mahabara hiyo ipo kwenye uchunguzi na hivyo haiwezi fanya kazi kwa Sasa
Mheshimiwa: Ndio.
(3). Wakili: Unakubaliana na mimi pia hospitali zote pamoja na Aghakan na Regency zinaitegea maabara ya taifa kupima Virusi vya Korona.
Mheshimiwa: Ndio.
(4). Wakili:Sasa mwambie mheshimiwa hakimu iliwezekana vipi Aghakan kutoa negative na muhimbili positive.
Mheshimiwa:Hata mimi mwenye ninashangaa imetokeaje.
(5). Wakili: Pia ieleze mahakama umejuaje kuwa wagonjwa wa wa Virusi vya Korona wamepungua ikiwa maabara ipo kwenye uchunguzi.
Mheshimiwa:Mhe. Hakimu ili swali gumu sana, ninaomba kwanza nishauriane na wataalamu wangu kabla ya kujibu swali hili.