Cross-Examination Mahakamani

Cross-Examination Mahakamani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,342
Reaction score
857,432
(1) *Wakili:* Unakubaliana na mimi kuwa tuna maabara moja tu ya kupima virus vya Korona hapa Tanzania.

[emoji843] *Mheshimiwa* Ndio

(2) *Wakili:* Na unakubaliana na mimi kuwa mahabara hiyo ipo kwenye uchunguzi na hivyo haiwezi fanya kazi kwa Sasa

[emoji843] *Mheshimiwa* Ndio.

(3). *Wakili:* Unakubaliana na mimi pia hospitali zote pamoja na Aghakan na Regency zinaitegea maabara ya taifa kupima Virusi vya Korona.

[emoji843] *Mheshimiwa* Ndio.

(4). *Wakili:* Sasa mwambie mheshimiwa hakimu iliwezekana vipi Aghakan kutoa negative na muhimbili positive.

[emoji843] *Mheshimiwa:* Hata mimi mwenye ninashangaa imetokeaje.

(5). *Wakili:* Pia ieleze mahakama umejuaje kuwa wagonjwa wa wa Virusi vya Korona wamepungua ikiwa maabara ipo kwenye uchunguzi.

[emoji843] *Mheshimiwa:* Mhe. Hakimu ili swali gumu sana, ninaomba kwanza nishauriane na wataalamu wangu kabla ya kujibu swali hili.

Jr[emoji769]
 
Pamoja na ukijumbe wako ila sifa yko Mara nyingi uwa na sahau kkupa naogopa sije kuondoka nikawa mnafiki kusema nyuma yko...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109] pokea dedication hii



Jr[emoji769]
 
Baada ya mapumziko mafupi, tunaendelea na Cross Examination. . .

6) WAKILI: Mheshimiwa, mara nyingi hua mnasema "Vitu Vya China Ni Fake", je korona nayo ni fake???

SHAHIDI: Kwakweli, labda Marekani na Italy zinaweza kunisaidia hilo jibu.

7)WAKILI: Mheshimiwa, unakubaliana na mimi kua nyungu hutumika kutibu watu wenye "Mapepo Na Mashetani" toka enzi za mababu zetu kina Mzee Kinjikitile???

SHAHIDI: Ndio.

8) WAKILI: Unawza kuieleza mahakama juu ya "Kujifukiza Nyungu", na kama Muhimbili na Aga Khan wanatoa hio huduma???

SHAHIDI: Labda uwaulize ma Sheikh na Watabibu wenye utaalamu huo.

9) WAKILI: Mheshimiwa, ina maana hata "Papai Na Mbuzi" wanatakiwa nawenyewe wafukizwe "Nyungu" ili wapone korona???

SHAHIDI: Hilo swali la kichonganishi na mkuu wangu wa kazi.

Mheshimiwa Hakimu sina swali la ziada, nafunga Cross Examination. . . .
 
Baada ya mapumziko mafupi, tunaendelea na Cross Examination. . .

6) WAKILI: Mheshimiwa, mara nyingi hua mnasema "Vitu Vya China Ni Fake", je korona nayo ni fake?
7)WAKILI: Mheshimiwa, unakubaliana na mimi kua nyungu hutumika kutibu watu wenye "Mapepo Na Mashetani" toka enzi za mababu zetu kina Mzee Kinjikitile???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Wahudhuriaji wa kesi wote vicheko, mbavu zinabana wakumshika bega hayupo.


Wote tunaulizana ndani ya mahakama tatizo ni holder au bulb?

Maana vyoote ni Tronics lakini vinatuvuruga mpaka yaliyokuwa majibu yamegeuka maswali.
 
Limenitafakarisha sana hili jambo

Je? Tutegemee kuona yaliyosemwa na yule mke wa bilionea huku kwetu?
 
Wahudhuriaji wa kesi wote vicheko, mbavu zinabana wakumshika bega hayupo.


Wote tunaulizana ndani ya mahakama tatizo ni holder au bulb???

Maana vyoote ni Tronics lakini vinatuvuruga mpaka yaliyokuwa majibu yamegeuka maswali.
Tatizo mfungaji.. Vifaa havina shida kabisa

Jr[emoji769]
 
Limenitafakarisha sana hili jambo

Je? Tutegemee kuona yaliyosemwa na yule mke wa bilionea huku kwetu?
.
tapatalk_1589769703912.jpg


Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom