Rais wa klabu ya Al Nassr ya nchini Saudi Arabia ajuta kumsajili mshambuliaji Cristiano Ronaldo.

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
12,902
15,331
Rais wa klabu ya Al Nassr ya nchini Saudi Arabia Bw. Al Muammar amesema anajuta sana kumsajili mshambuliaji Cristiano Ronaldo na anasema kumnunua mchezaji huyo ni moja kati ya matukio mawili ya kitapeli ambayo amewahi kufanyiwa maishani mwake.

Hii imefuatia baada ya klabu ya Al Nassr kutolewa kwenye kombe la ligi nchini Saudi Arabia.

 
Sasa Chelsea na sajilizao wasemeje!!
Yaani CR7 pekeyake anawezaje kuibeba timu nzima.
 
Toka mwanzo sikutegemea kama Ronaldo angekaa kule hata mwaka kwa hiyo sishangai.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom