mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,153
- 137,524
Kuna siku nlikuwa mahali napiga kilaji na mwanangu mmoja,mara mke wake
Akatuvamia tukakaa naye
Ehh kwenye mazungumzo yule mke wa jamaa akaanza,ohh Chris mauki kasema hivi---- jamaa akampiga biti mke wake,oya sitaki stori za chriss mauki kasemaje sjui kafanyaje
Ukitaka hamia huko kwake [emoji1]
Ova