Cris Mauki anapenda sana kwa Wanawake

Cris Mauki anapenda sana kwa Wanawake

Jamaa anapenda sana SIFA kwa wanawake. Jamaa hakuna post yake au video clip
itakayoeleza mema ya mwanaume. Yeye clip zake zote ni kumponda mwanaume dhidi ya Mwanamke. Yaani utafikiri hiyo taaluma yake ya Saikolojia ni kwaajili ya Mapungufu ya Wanaume dhidi ya wanawake. Kumbe hajui pia saikojia inaeleza kuwa tabia za mtu hutambulisha kundi lake. Mauki post/clips zake zinamuonyesha kana kwamba yupo kundi la waathirika na tabia za wanaume(!!!!!!!!).

Mauki kama mwl wa saikolojia katika mahusiano alitakiwa kuielimisha jamii bila kubagua.

Ila jamaa kafanikiwa sana kujipatia umaarufu kwa WANAWAKE
Mkuu, ukitaka umaarufu na kupendwa sana na wanawake wewe wasifie sana na pondea wanaume. Utapendwa sana.
 
Ukitaka hayo mambo yasikusumbue akili jipe thamani mwenyewe, Achana na wanawake..... Don't care women take them kama Pleasure thing hata huyo Mauki Mamluki utaona anaongea trash tu maana kila kitu utaona hakikuhusu.
Teh teh teh 😃😃😃 noma sana hii mbinu
 
Jamaa anapenda sana SIFA kwa wanawake. Jamaa hakuna post yake au video clip
itakayoeleza mema ya mwanaume. Yeye clip zake zote ni kumponda mwanaume dhidi ya Mwanamke. Yaani utafikiri hiyo taaluma yake ya Saikolojia ni kwaajili ya Mapungufu ya Wanaume dhidi ya wanawake. Kumbe hajui pia saikojia inaeleza kuwa tabia za mtu hutambulisha kundi lake. Mauki post/clips zake zinamuonyesha kana kwamba yupo kundi la waathirika na tabia za wanaume(!!!!!!!!).

Mauki kama mwl wa saikolojia katika mahusiano alitakiwa kuielimisha jamii bila kubagua.

Ila jamaa kafanikiwa sana kujipatia umaarufu kwa WANAWAKE
Kama mwaposa tu na diamond platinum
 
Back
Top Bottom