CRDB wameanza kuita interview

CRDB wameanza kuita interview

Habari wakuu, nimeitwa kwenye interview tarehe 17 itafanyika CRDB BANK HOUSE MIKOCHENI,naomba mnielekeze nafikaje hapo Mimi natokea tabata kimanga. Nashukuru kwa msaada wenu maana kuuliza si ujinga

Panda gari za mbagala.? Utafika mpaka benk ya crdb hapo....
 
Sijawah kuvutiwa na kazi za benk,sijui kwa nini!
 
Ivi na dtb wanalipaga shs ngp maana kuna rafiki yangu apo mpka sasa ivi ameshindwa kununua kitanda. .
kuna x wife wangu anafanya hapo,wanapewa take home ya 500k na kila jmosi wanapewa weekend allowance elfu 50.
 
kuna x wife wangu anafanya hapo,wanapewa take home ya 500k na kila jmosi wanapewa weekend allowance elfu 50.
Wanaishije hapa Mjini na Umaridadi wao? Lakini sidhani kama ni Kweli.
 
Had hapo bado hamjanizidi mimi mwanajeshi nilieishia 4m 4
 
Back
Top Bottom