CRDB wameanza kuita interview

CRDB wameanza kuita interview

Wanalipa laki 9

Acha uongo Kijana.! CRDB ukiingia unaanza na Gross salary ya TSH.650,000.! Probation ni miezi 6 na ukiwa probation hakuna makato, after probation unaanza kupata marupu rupu like teller allowance-Tsh. 200,000 (kama ukipangwa teller), meal allowance-Tsh.200,000 transport allowance Tsh.150,000 na overtime pia..!! Siyo sehemu mbaya kufanya kazi, na kwa mwajiriwa mpya ukifika unapewa Tsh.1.2M kama ela flan ya kuku-boost ambayo unapewa ya siku 30 kwa siku ni Tsh.40,000 so uki-times mara 30 ndo inakuja Tsh.1.2M.! Thats all about CRDB for new employer
 
Allowance zinazidi mshahara ! kumbe crdb inalipa kama vile mbunge,, hongereni sana
 
Wewe ni me au ke maana mateller wengi wakike msijipendekeze Kwa wateje hasa wenye doo zakutosha kwenye account zao akija kama Mara moja kutoa au kuweka doo nyingi mitego na kukariri sura inaanza Utasikia dis gay has got alot of money yaani nikimpata ile gari yangu ninayolipia kidogo kidogo nitamalizia kulipia nimechoka kupanda boda boda
 
Allowance zinazidi mshahara ! kumbe crdb inalipa kama vile mbunge,, hongereni sana

kama hivo sio pabaya,ila kazi za bank wengi wanakimbia,kazi ni nyingi mda wa kupumzika majanga,ukirudi hom jion kichwa chote kinazunguka manoti kama wewe ni teller :yawn:
 
Ivi na dtb wanalipaga shs ngp maana kuna rafiki yangu apo mpka sasa ivi ameshindwa kununua kitanda. .
 
Back
Top Bottom