CRDB wameanza kuita interview

CRDB wameanza kuita interview

winlicious

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,009
Reaction score
1,156
Habari wakuu, nimeitwa kwenye interview tarehe 17 itafanyika CRDB BANK HOUSE MIKOCHENI,naomba mnielekeze nafikaje hapo Mimi natokea tabata kimanga. Nashukuru kwa msaada wenu maana kuuliza si ujinga
 
Habari wakuu, nimeitwa kwenye interview tarehe 17 itafanyika CRDB BANK HOUSE MIKOCHENI,naomba mnielekeze nafikaje hapo Mimi natokea tabata kimanga. Nashukuru kwa msaada wenu maana kuuliza si ujinga

Panda gari zozote zinapitia njia ya mlimani city alafu mwenge ,shuka kituo cha itv alafu chukua bajaji mwambie akupeleke sio mbali na hapo
 
bila kuwa na jina la mushi, kimaro, massawe kupenya ni shida
 
duu mbona sina habari vip wanalipa shiling ngapi nione kama naweza kutoboa huku niliko nje huko
 
hehehe jamaa muongo huyu toka lini mchaga akamuajiri mzigua au mkurya na mengineyo?
 
Back
Top Bottom