sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 55
Hivi crdb bank wana minimum ya muda gani ku clear telegraphic transfer? Nimetumiwa tt toka denmark toka ijumaa nikiangalia kwenye account yangu naona hela zimeingia hata sim banking kwenye mobile inaziona lakini mbona siwezi kuzichukua kwenye atm? Huu utaratibu ni standard au ubabaishaji
nipe mkuu? Ni kweli nazihitaji dola hizo...ww sema umeishiwa na uko desparate, mpigie kimei usaidiwe nikupe # yake?
mkuu hiyo no ya kimei vp?ww sema umeishiwa na uko desparate, mpigie kimei usaidiwe nikupe # yake?
Yeah,,crdb wana magumashi flani they need to change kuna wakati jamaa yangu aliamuru watransfer pesa kulipia gari UK kupatikana TT mpaka mshikane mashati