Jamani mwenzeni nimeenda CRDB Bank Azikiwe Leo, kuna jamaa yangu kaniambia kuna watu wanafanya usaili, nikauliza lini walitangaza hizo chance?
Akaniambia CRDB hawatangazi nafasi za kazi bali huambiana tu kimchongo zaidi.
Sasa huyu Charles Kimei au Charles Kimeo???
Tangazeni watu tukabishane kwa hoja!!!
Elimu ya Tanzania bhana. Mijitu badala ya kutafuta just small capita cha laki tano au chini ya hapo aanze ujasiria mali kwa uwezo wa taaluma aliyo nayo. Yeye anafikiria kuajiriwa
Hii ni kwa nafasi za mateller, huu ni mwaka wa pili nashuhudia wakifanya hivi...mimi niliomba nikakosa ila kuna rafiki zangu wawili wako huko...sio wachaga lakini. Naona umepanic mkuu sio lazima uajriwe crdb!!umedanganya umma, niambie ni mwaka gani crdb wamefanya ivo na walichukuliwa akna nani???
Inaonekana kufanya kazi crdb ilikuwa ni ndoto yako toka utotoni, ila vuta subira ndoto yako itafanikiwa tu. Nina mashaka kama utafanikiwa endapo utaendelea kulalamika hivi.Siku zote chakula huwekwa mezan,ili kila mtu ale na kushiba!! Lakin tutazidiana kwenye kula,kuna atakaye kula Sana,kuna atakayekula kidogo
But ukiona mpishi kaita watu jikon kimya kimya jua kabisa huo ni uchoyo
Na ndo kinachofanyika crdb
Hujajifunza kitu mkuu, ninachokiona kwako ni kwamba karibia ukate tamaa au umekata tamaa kabisa, hili ni kosa kubwa. Lawama zako sinaashiria kukata tamaa kwako, ukiona crdb wanakubania geukia plan b songa mbele na utayafikia mafanikio yako...ila ukindelea kulaumulaumu hivi na kukosoakosoa utadhani wewe ni profesa wa kila kitu utaishia kushi kwa stress bure na kukata tamaa kabisa! But Jesus help you, just cling unto his promises!Sijasema cv yako haina qualifications!! Unajua tuwe na akili za kiutu uzima tu
Juzi pccb walitangaza nafasi za kazi umeona madudu waliyofanya??
Wameita kwenye usaili hata watu ambao hawakuomba chance
Secondly kuna mtu anaitwa Mburahati Primary School??
Unajua kwa nini wamefanya madudu haya?
Poa usiku mwema but elewa sio mpango kabisa hapo crdb
Jamani mwenzeni nimeenda CRDB Bank Azikiwe Leo, kuna jamaa yangu kaniambia kuna watu wanafanya usaili, nikauliza lini walitangaza hizo chance?
Akaniambia CRDB hawatangazi nafasi za kazi bali huambiana tu kimchongo zaidi.
Sasa huyu Charles Kimei au Charles Kimeo???
Tangazeni watu tukabishane kwa hoja!!!
nijuavyo mimi CRDB hawatangazi bali wanashauri u-upload cv yao kwenye mweb site yao, na wanachokifanya wanapitia hizo cv na wanaita kulingana na wanavyohitaji. tembelea website yao
endelea kujidanganya
endelea kujidanganya
Kipi kiliwafanya wakupigie cimu?? Maana walopeleka CV ni wengi,sasa sielewi kwa nini wewe
Sio swala la ukubwa wa sijui hicho unachokiita Kabila, ni swala la uwezo wa kufanya kazi na Usomi, imetokea tu kwamba kwa sababu za kihistoria watu wa kutoka Mkoa wa KLM ndio waliosoma sana ukilinganisha na watu wa Mikoa mingine, yaani pengo la Kieleimu kati ya KLM na Mikoa Mingine ni kubwa sana!
Mkuu sizan kama cv yako ina mvuto saana kuzidi walioomba hiyo chance!!
Nimeenda mwenyewe kwa miguu yangu miwili CRDB Azikiwe!!!
Jamaa yangu kaniambia hv,hua hawatangazi nafasi za kazi wanaitana kimya kimya
Na mwezi wa sita wanatoa chance tena!!!
walikuwa wanapata majina chuoni na taarifa za wanafunzi wote zipo ARIS. kwa taatifa tu me sikuwah tuma CV bank yoyote kijana.
Na ndio wanaongoza kwa kufanya kazi taratibu na kulundika makazi.Huyu ni Kimeo na sio Kimei!!!
Si atangaze?? Hv makabila makubwa kama wasukuma wangekua na crdb yao si wangejaa kila ofisi???