"CRAZY Things We Do For Love"...

"CRAZY Things We Do For Love"...

Yeah ni kweli mpendwa!...anajutia haswa manake mume alimnyang'anya mtoto tena mdogo...

ndugu nao hawana hata nia ya kumsaidia manake hawana hamu nae! Inshort hana pa kukimbilia..

Weka vyako hapa..

Ngoja kwanza nimuulize vipi aliona nimefanya ni crazy kisha ntaku PM...lol
 
Hehehe uskute worst case scenario ya mtu mmoja, kwangu ndio Business as Usual, kwa hiyo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu tu.

Mtu anatasema yeye anafanya crazy things lakini hatujui anatumia TBS ya wapi :redface:

*Wiki mas'hara kwani? Nimeshindwa, nimeamua kupunguza dozi tu :crazy:

hapo sasa, maana kama mkuu Calnde anaona kuonge kuanzia 22:00hrs - 5:00AM ni crazy wakati wengine wanafanya zaidi ya 12 hr na bado ni BAU

*** Umejipunguzia dozi kwa ushauri wa wataalam wa afya au kienyeji? lol...ila pole mwaya si haba hata hivyo
 
I concur with this but I think you did get my question
I will come again: ni hivi hicho ambacho kinakuja kuwa 'the crazy thing one did in the name of love' kabla hajakifanya sasa, huwa anakuwa amekifikiria au kukipangilia au kinakuja tu vuuup na yeye anakifanya right away??
Nafikiri huwa kinakuja, ila mara nyingi inatokana na story mnayoongea at that particular time ndio inakufanya ukumbuke hiyo crazy thing you did...ila kusema kwamba kupangilia nop ni wachache sana kama wapo ni asilimia (1%)
 
Mhhh!!! Yummy Yummy...Now you are talking... also don't forget chasing you with a plane while you are running on an air strip...lol
Hahahahahaha ..Duhhhh TF umeharibu bana
Hiyo si "crazy things we do for love" more like I'm so sick of you "love ".......

Siku inayofuatia nakuona kwenye serial killer program in CI lol ...
 
And I mean it.... Kabisa on a serious note; Hio ya finding love in the most unusual places.... That is where the fun lies... Umekata tamaa... you are heart broken and boom! You just don't know what HIT You! lol

Alafu wewe mbona hujasema the Crazy things you have done for Love?

Nyie wote wawili pamona na TF hamjasema hizo crazy things...Fungukeni ni nini hasa?tupeni hata mifano 3.

Mie msiniulize kwani sijawahi kupenda (Please AD usimwambie hii Shemejio)
 
Hahahahahaha ..Duhhhh TF umeharibu bana
Hiyo si "crazy things we do for love" more like I'm so sick of you "love ".......

Siku inayofuatia nakuona kwenye serial killer program in CI lol ...
Hahahaha!!! Sijui nani atakuwa witness
 
Nyie wote wawili pamona na TF hamjasema hizo crazy things...Fungukeni ni nini hasa?tupeni hata mifano 3.

Mie msiniulize kwani sijawahi kupenda (Please AD usimwambie hii Shemejio)
Mbona unaanza kwa kutupa mpira ZD...halafu hapo kwenye bluu acha hizo...lol
 
Gee..yah hiyo ni BAU...kabisa hiyo sidhani kama naweza kuiweka kwenye kundi la craziness

Ndio nikasema hapa, viwango vinavyotumika vinatofautiana kwa hiyo mtu anaweza kujiona yeye anafanya crazy things lakini kumbe holllaaa

Bora tu uwe kaa Gaijin useme hujawahi wala nia huna 😀
 
Gee..yah hiyo ni BAU...kabisa hiyo sidhani kama naweza kuiweka kwenye kundi la craziness

kwa hiyo hapa mtakatifu wa siku za mwisho ni kwamba kuna ambayo yanaweza kuwa crazy kwa mmoja na kwa mwingine yakawa kawaida kabisa, si ndiyo?
 
Then tuambiane crazy thngs ndo zipi hizo. May be we are doing me be we are not!
Calnde soma this story below then utaelewa nina maanisha nini by saying "CRAZY" i hope itakupa mwanga kidogo...

In the late 1950s, New York lawyer Burt Pugach was wild about Linda Riss. He began having an affair with the 21-year-old, but she broke it off when she learned that he was married and had a child. Pugach hired men to throw lye in her face, scarring her and blinding her in one eye. He went to jail for 14 years and kept writing letters to Riss the entire time. Upon his release, the couple reunited and got married. In 1976 they shared their story in the book "A Very Different Love Story." (ain't this Crazy? kampofua jicho then anatoka jela wanaoana)
 
Ndio nikasema hapa, viwango vinavyotumika vinatofautiana kwa hiyo mtu anaweza kujiona yeye anafanya crazy things lakini kumbe holllaaa

Bora tu uwe kaa Gaijin useme hujawahi wala nia huna 😀
Hahaha!! Gee maana mimi kama kila siku naongea kwenye simu for more than two hours inakuwa imeishakuwa mazoea ila sasa ile mtu ku-pull stunt ambayo inakuwa kila mtu akitafakari anakuuliza "Hivi what were you thinking when you were doing this" sasa hapa nafikiri Calnde atakuwa ameelewa..

kwa hiyo hapa mtakatifu wa siku za mwisho ni kwamba kuna ambayo yanaweza kuwa crazy kwa mmoja na kwa mwingine yakawa kawaida kabisa, si ndiyo?
Yap....maana hizi za kuongea kwenye simu zaidi ya masaa mawili ni watu wengi wanafanya so sioni kama ni jambo jipya kivileee..ila kama ni ishu ya almost mtu kutoa uhai wa mtu mwingine halafu bado wakaendelea hadi kuja kuoana now that's "CRAZY"..
 
  • Thanks
Reactions: bht
Halafu unafungwa maisha ... Maximum security prisoner ... sijui story ya things we do for love imeishia hapo au bado? ..
Inakuwa haijaisha ila ndio inakuwa mwanzo wa "CRAZY Things We Do For Love" maana unaamua kufungwa pamoja na mie huko Maximum Security Prison...
 
Calnde soma this story below then utaelewa nina maanisha nini by saying "CRAZY" i hope itakupa mwanga kidogo...

Got you! But its like he played a risky game. Cause the girl could get another person while he was in prison
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom