Nimepitia Post kwa post katika hii thread, lakini hadi nafika post #53 sijaona mtu aliyeeleza 'Lively' vitu vya ukichaa alivyowahi kuvifanya katika experience ya penzi kwa mtu wake...tunaongelea literature zinazohit around the bush....too bad!
Sidhani kama mleta mada alitaka thread iende hiv, japo na yeye mwenyewe amekuwa carried out na wanao'derail thread yake!...huh!!
Mimi wakati huo nikiwa katika peak ya mapenzi nilishawahi kusafiri Kilometa 1600 kufuata penzi, nikaharibikiwa na kulala porini siku 5!...niliporudi nikakuta kibarua kimeota nyasi, enzi hizo hakukuwa na simu za mkononi, hivyo hata kuwapigia watu wa ofisi kuwa nimestuck ilikuwa haiwezekani!...Bahati nzuri nikapata kazi sehemu ingine!
Mapenzi ni kichaa full!