"CRAZY Things We Do For Love"...

"CRAZY Things We Do For Love"...

This other guy is in the process to crawl inside his girl's body!...huh!1..This crazy Love!
star_wars_love_letter.jpg
 
Huyu wa kwangu huwa ananiumiza sana, ila sikomi kumpenda hadi kila rafiki ananishangaa!
 
Nafikiri huwa ikitokea umemkumbuka mtu fulani ndio sasa unaanza kukumbuka those crazy things you did...au labda mnaweza kuwa mnakumbushiana ulipomkosea mwenzako what crazy thing you did to get him/her
back..

I concur with this but I think you did get my question
I will come again: ni hivi hicho ambacho kinakuja kuwa 'the crazy thing one did in the name of love' kabla hajakifanya sasa, huwa anakuwa amekifikiria au kukipangilia au kinakuja tu vuuup na yeye anakifanya right away??
 
Vingine huwa vinakuja tu bht... Unajikuta umekifanya bila kujiuliza mara mbili then baadae ndo wajiuliza hivi pale ilikuwaje?..
 
  • Thanks
Reactions: bht
Ndahani unakumbuka hata jana kwenye thread ya Jolie I told you am passionate about the things I love.... Tatizo mimi kusema hayo haina maana na wala sio gurantee kua the one I am feeling for ana feel the ame way or if at all he appreciates... ndio hapo mchezo wa Mapenzi anapokua wa Ovyooo sana. :bump2:

Very bad. . . The amount of love should have been proportionate
 
Vingine huwa vinakuja tu bht... Unajikuta umekifanya bila kujiuliza mara mbili then baadae ndo wajiuliza hivi pale ilikuwaje?..

Enhee, sasa hapo no kama huyo shostito wako, naona anajutia hadi leo

Nadhani hatufikirii mara mbili mbili, no wonder they are 'crazy things' one does for love...lol.
 
sikuua mpenzi ila wakati mwingine sijui huwa tunatumia efforts kubwa na wrong approach labda kwa wale tuwapendao halafu we end up kuwa vituko ..............na kituko kwako mwenyewe baada ya muda.

kwani uliua mtu?
 
ukitaku kukumbuka vizuri remember at the early times of your love.
 
nakumbuka kuna siku I talked to her from 2200hrz to 5am! Was it not crazy?
 
hahahhaaaa

'worst case scenario'
nimevumilia nimechoka, wiki bado kwani???

Hehehe uskute worst case scenario ya mtu mmoja, kwangu ndio Business as Usual, kwa hiyo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu tu.

Mtu anatasema yeye anafanya crazy things lakini hatujui anatumia TBS ya wapi :redface:

*Wiki mas'hara kwani? Nimeshindwa, nimeamua kupunguza dozi tu :crazy:
 
  • Thanks
Reactions: bht
Enhee, sasa hapo no kama huyo shostito wako, naona anajutia hadi leo

Nadhani hatufikirii mara mbili mbili, no wonder they are 'crazy things' one does for love...lol.
Yeah ni kweli mpendwa!...anajutia haswa manake mume alimnyang'anya mtoto tena mdogo...

ndugu nao hawana hata nia ya kumsaidia manake hawana hamu nae! Inshort hana pa kukimbilia..

Weka vyako hapa..
 
I enjoy cutting her nails. . . Na kumvalisha earrings. Don know if its crazy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom