"CRAZY Things We Do For Love"...

"CRAZY Things We Do For Love"...

Kuna MODs ntawalambisha ban ..."things we do for love " lolz

Nahhh is not a big deal aee.
Saa nyingine unahitaji ile quite moment ..
actually ban is good ... kila kitu kinachoonekana kibaya kina Uzuri ndani yake ...

heheeee kulipa kisasi ni 'zambi' hivoo...halafu wao wana immunity

See...it isnt!! Also taking into account the fact that one can just pop in with a new ID, so...
 
sikuua mpenzi ila wakati mwingine sijui huwa tunatumia efforts kubwa na wrong approach labda kwa wale tuwapendao halafu we end up kuwa vituko ..............na kituko kwako mwenyewe baada ya muda.
Mara nyingi mapenzi yanatusukuma kutumia moyo zaidi kuliko kutumia brain...lakini ni human nature. But the most important thing kwangu ni kuachana na mazoea...kujifunza kila siku nini kinapaswa kufanywa mapenzi yaende mbele. Lakini hoja ya msingi bado hujaieleza....crazy things we do for love!
 
heheeee kulipa kisasi ni 'zambi' hivoo...halafu wao wana immunity

See...it isnt!! Also taking into account the fact that one can just pop in with a new ID, so...

Si kisasi "tutakuwa tunafanya kazi zetu tu"
Hamna cha immunity kuna thread fulani ntakutafutia ..MOD fulani alikula Ban.
Kwanza bado sikufahamu kama alivuliwa cheo au la ..ngoja nifuatilie..

Ahhhh well,
I guess is nothing new then unakula ban leo kesho unaingia kama kawa ..mi nilipumzika lakini lol 🙂
 
Mzembe nilipigwa kibuti kariakoo sokoni, nikajifanya kupaparika paparika kama nina kifafa halaf nikazimia ili anionee huruma, hehehe ile nimejifanya kuzimia na ujicho umoja nikauweka nusu wazi ili nimuangalie kama ananionea huruma kweli, asslalamaleko walahi! akapita jamaa na cha maringi manne akambeba na hapo ndio nikazimia kweli kweli, nilipigwa dripu tano zilizochanganywa na glucose na nashkuru mwaka ulofatia niliweza kupiga kura.
Kuna jamaa alinichukua kwa kamkoda, mkibisha nitakuwekeeni mkanda laivu mjionee
 
Weka tujionee lol.
 
Hahahahahaha lol..
Dahhhh ngoja nijifanye nimelala sasa ..
Dawa tamu Nakusalimu ...
 
Huu ukilaza huu..............Yaani nimeelewa hapo kwenye BOLD tu..........!
Hebu wataalamu wa lugha hii ya mcharazo mje kunifasiria, maana nimetoka kapa hapo...............LOL
Mzee mwenzangu, sie tuliosoma shule za Nyerere, hizi lugha tuwaachie watoto wa St. Academy lol:sleepy:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom