Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,303
Gaijin mambo.
Usimkatishe tamaa bana ..kajitahidi sana hapo eti ..
Nasikia ulikuwa Jela na wewe Pole.
Niliona usikae mwenyewe nije nikupe company jela ....
Simkatishi tamaa, wanawake wanapenda hiyo sometimes, as long as wakati mwengine ni man enough