"CRAZY Things We Do For Love"...

honestly sijawai kuona ukichangia thread zaidi ya kuchakachua?
sijui kwa nini haukupewa zaidi
maana upo juu kwa kuchakachua

you stole my words Smile...
nilitaka kumuuliza leo huchakachui?
 
Halafu bahati mbaya anatoka nje kweli halafu anagongwa na gari..lol...sijui inakuwaje maana kuna ishu zingine inakuwa kama vile unajichulia kifo chako kabisa....
Afu from there ni kama vile alijitilia mkosi kwenye ndoa yake...

manake ndugu wa mume walikusanyika kwenye msiba hewa wanajiandaa kwenda karatu kuchukua maiti hewa, ilipofika sa 6 mchana simu yake inapigwa tena, mume kashindwa pokea kwa uchungu, wifi kapokea mara sauti ya kike, eti mie mama flani ,baba flani yupo hapo? Akaulizwa wewe si umekufa? Akasema sijafa nilikuwa namtania husband! Ndugu walichukia mno, ile ndoa ikawa haina tena amani na hivi nnavyoandika wametengana kabisa...

Ukichaa mwingine ni mkosi TF...
 
SL that was just too much jamani!!! sasa upendo gani huo kumdanganya mwenzio eti umekufa? hakufikiria hata huo mshtuko ungeweza kumletea mumewe tatizo kubwa zaidi...daaah!!! this was insane
 
honestly sijawai kuona ukichangia thread zaidi ya kuchakachua?
sijui kwa nini haukupewa zaidi
maana upo juu kwa kuchakachua
Hehehe... Zawadi nilipewa kwa siri... Kuchakachua ni kipaji smile huoni wewe hunacho?
 
Afu from there ni kama vile alijitilia mkosi kwenye ndoa yake...

manake ndugu wa mume walikusanyika kwenye msiba hewa wanajiandaa kwenda karatu kuchukua maiti hewa, ilipofika sa 6 mchana simu yake inapigwa tena, mume kashindwa pokea kwa uchungu, wifi kapokea mara sauti ya kike, eti mie mama flani ,baba flani yupo hapo? Akaulizwa wewe si umekufa? Akasema sijafa nilikuwa namtania husband! Ndugu walichukia mno, ile ndoa ikawa haina tena amani na hivi nnavyoandika wametengana kabisa...

Ukichaa mwingine ni mkosi TF...
Huyu alienda extra mile aisee si mchezo...:scared::scared:
 
SL that was just too much jamani!!! sasa upendo gani huo kumdanganya mwenzio eti umekufa? hakufikiria hata huo mshtuko ungeweza kumletea mumewe tatizo kubwa zaidi...daaah!!! this was insane
Nafikiri ni zaidi ya insane aisee...
 
Hebu acheni kunitoa kwenye mada jamani....

Nilitaka kukusalimu nikamkumbuka UFUDU, Nimeghairi..

hahhahaa na nakupendea tu hicho SL, yaani nikiona unavyosalimia watu humu huwa nacheka tu mwenyewe...

:focus: mbona hujafunguza bana? what was the craziest thing you did in the name of love...nasubiri
 
Sweet wifi mbona hujaweka source? lol... Naamini u mzima na kwamba you are in love.... lol
Wifi mie mzima wa afya.....hofu kwako.

Source: SL...

Haki zote zimehifadhiwa... Hairuhusiwi kucopy, kupaste, kubold, kucolour bila ruhusa ya muhusika.. Upo hapo lovely wifi?
 
hahhahaa na nakupendea tu hicho SL, yaani nikiona unavyosalimia watu humu huwa nacheka tu mwenyewe...

:focus: mbona hujafunguza bana? what was the craziest thing you did in the name of love...nasubiri
Hahaha! Mie vyangu nimemtumia TF kwa PM akimaliza kuedit ataweka hapa....
 
Hivi Ze Finest hizi crazy things watu wanafanya kwani wana muda wa ku pre-meditate?
Nafikiri huwa ikitokea umemkumbuka mtu fulani ndio sasa unaanza kukumbuka those crazy things you did...au labda mnaweza kuwa mnakumbushiana ulipomkosea mwenzako what crazy thing you did to get him/her back..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom