@crashwise ongeza hii kwenye ule uzi wa jk akijenga taifa!

salama tu cacico

Rais mlegevu huyu...dah...!
hafai hata kuitwa mkweo! lol! hebu nipite mbali mie, nalia naye na NSSF yangu tu, kama kuna kitu kimekimbiza ukoo wangu CCM ni NSSF yangu, uwiiiiiiiiiiiiiiiiii siwaelewi na sitakaa nikawaelewa!
 
cacico bado tuna miaka kama miwili ya kuwa nae madarakani na bado sijui akiondoka kilo ya sukari itakuwa imefikia wapi
Achana na sijui diesel wala petrol ila zile basic stuff kama mchele ambao sasa ni 2500 kw akilo na unga wa mahindi
ni balaa hapo hujaweka anasa kama nyama ambayo kwa sasa ni 6000 kwa kilo
binafsi yangu natamani hata hiyo 2015 asifikishe awe ashasepeshwa!
 
nakwenda msoga kupiga picha na bibi na mkienda US lazima mpige picha na wasanii ili mjipaishe, aibu zenu wakwere!

Yaani hata tukienda shule mwanawani si unajua jasiri haachi ujasiri?
Sasa kama mie msanii nikipiga picha na wasanii wenzangu kuna ubaya gani mkuu wangu cacico?
Si unajua ndege wa rangi moja??

Nasoma comments humu pumzi zinabana kabisa cacico nivea na wengineo kuweni wavumilivu yote hayo yana mwisho.
 
Last edited by a moderator:
nakwambia kikundi kitakachokuwa cha kwanza kuingia mtaani ili mradi tutoke mikononi mwa hawa mafedhuli, nitatangulia mbele na niondoke wa kwanza, ili wanangu baadae waje ishi bila unyanyapaa wala kunyang'anywa nssf yao! Naichukia serikali yake mnoooooo!

Mama, sasa nazielewa hisia zako kwani wewe sio mbinafsi bali unaishi na kufikiria watoto na wajukuu zako wataishije baada ya kizazi chako wenda mbele ya haki!! Tofauti na wewe, hawa watawala zetu wao wanaishi kwa siku ya leo tu na ndio maana wanauza ardhi kwa wageni mpaka mbuga zetu za wanyama pori na wanyama pia; wao maisha ni ya kwao tu hawajali wakina MwanaaAsha na watoto wao wataishije baada ya wao kusepa!!
 
sema unaweza jilipua asife ukafa mwenyewe si unajua huyu mtu analindwa na majini
by the way! Nimesikiaka hizo taarifa, kuwa analindwa na majini alitengenezewa na the late sheikh yahya, kazi ipo! Ila majini yake mbele ya muumba wetu juu ni kama moshi upoteao mawinguni, si kitu kabisa!
 
Mama, sasa nazielewa hisia zako kwani wewe sio mbinafsi bali unaishi na kufikiria watoto na wajukuu zako wataishije baada ya kizazi chako wenda mbele ya haki!! Tofauti na wewe, hawa watawala zetu wao wanaishi kwa siku ya leo tu na ndio maana wanauza ardhi kwa wageni mpaka mbuga zetu za wanyama pori na wanyama pia; wao maisha ni ya kwao tu hawajali wakina MwanaaAsha na watoto wao wataishije baada ya wao kusepa!!
Inauma mno, kuona tunaishi maisha yasiyo na tumaini la kesho, sababu ya mtu ambaye anatawaliwa kwa ushawishi na tamaa tu! aibu zake na mang'uniko yetu yatamrudia, na atalipa hapa hapa!
 
Yaani hata tukienda shule mwanawani si unajua jasiri haachi ujasiri?
Sasa kama mie msanii nikipiga picha na wasanii wenzangu kuna ubaya gani mkuu wangu cacico?
Si unajua ndege wa rangi moja??

mkuu Mkirua nimekupata, nimekuelewa! ni sawa na kila mtu kupiga miluzi kumuita mbwa, sasa huyo mbwa si atapotea? maana hajui asikie kutoka kwa nani huo mluzi. ila jibwa hili siku nyingi lishapoteaaaaa! washagawana viwanja wamevimaliza, watuachie basi mapori ya mikumi na serengeti tukaishi na simba na chui, laanakhum!
 
Last edited by a moderator:
Inauma mno, kuona tunaishi maisha yasiyo na tumaini la kesho, sababu ya mtu ambaye anatawaliwa kwa ushawishi na tamaa tu! aibu zake na mang'uniko yetu yatamrudia, na atalipa hapa hapa!
cacico unaona wanavyojijengea himaya ya kutotaka kuja kuulizw abaadae maana watoto wao na wake zao na mashemeji zao na wakwe zao wanaingia kwenye siasa ili kulinda maslahi yao
As if nchi hii ouongozi ni wa kifalme na baba zao hawaonekani hata kukemea haya mambo ya kurithishana utawala
Utafikiri wenye majina ya cacico au Mr Rocky hawawezi kutawala mpaka yawepo yale yale yaliyozoeleka toka kupatikana kwa uhuru
 
Last edited by a moderator:
mkuu cacico nitaiongezea nikikaa kwenye computer tanzania hatuna raisi tuna afisa utamaduni kata ya gamboshi wilaya ya bariadi mloani simiyu ni sehemu inayosemekana inawachawisana usukumani kuliko sehemu yoyote sasa watanzania tuliingia mkenge tukampa atuongoze matokeo yake ndiyo haya mkapa mtoto wangu nae anasema kumbe anaweza kuwa raisi na umri wake wa miaka 5...
 
Last edited by a moderator:
yaani binafsi yangu nimemchokaaaaaaaa! uwiiiiiiiiiiii sina jinsi tu!

kazi ipo kwenye nssf zetu yaani hapo nitaandamana mpaka tone la mwisho amaana wameiba madini yetu na mali asili zingine wameona haitoshi sasa wameingia kwenye jasho letu moja kwa moja..
 
kazi ipo kwenye nssf zetu yaani hapo nitaandamana mpaka tone la mwisho amaana wameiba madini yetu na mali asili zingine wameona haitoshi sasa wameingia kwenye jasho letu moja kwa moja..
hivi kuhusu nssf yetu, bunge letu linasemaje so far?? Wasilete utani kabisaaaaa, kwani hawajashiba tu?
 
mimi kwangu ni afadhali nipige picha na ombaomba mitaani kuliko kupiga picha na huyu mtu..
Mkuu Crashwise ombaomba wana utu na ni binadamu wenzetu wenye roho ipumuayo, sema ni afadhali upige picha na maiti tena iliyooza KULIKO KUJITIA LAANA NA KUPIGA PICHA NA MTU HUYU, NI laana na nuksi kwenye maisha yako unajitafutia!
 
Last edited by a moderator:
mkuu cacico nitaiongezea nikikaa kwenye computer tanzania hatuna raisi tuna afisa utamaduni kata ya gamboshi wilaya ya bariadi mloani simiyu ni sehemu inayosemekana inawachawisana usukumani kuliko sehemu yoyote sasa watanzania tuliingia mkenge tukampa atuongoze matokeo yake ndiyo haya mkapa mtoto wangu nae anasema kumbe anaweza kuwa raisi na umri wake wa miaka 5...
hii comment ungeingunisha na kile kikatuni cha kipanya, kinachosema vasco wetu apewe na uwaziri wa mambo ya nje, kile kikatuni kilichopo kwenye ndege, namtema puuuuuuuuuuu, HAFAI JAMANI, HAFAI!! CCM HAIFAI, PERIOD!
 
Back
Top Bottom