@crashwise ongeza hii kwenye ule uzi wa jk akijenga taifa!

nakwambia ujinga kweli mzigo! sijawahi ona wala kusikia rais kama huyu, mkimuona igondu, tafadhalini mwambieni siyataki haya meno wa hizi kucha!
 
wewe umechoka mimi niko radhi nijitupe kwenye msafara wake na bomu langu nilipuke afie hapohapo
 
Mr. Rocky nimemchokaje mtu huyu mimi??? nataka tumuhifadhie albam ya kumbukumbu pindi atakapostaafu awe anaona picha zake, wakati akila bata za nchi hii! ni balaa, cjui tuliingiaje mkenge hivi?

Hivi cacico ushamsikia tena na ile falsafa yake ya maisha bora kwa kila Mtanzania sijui imeishia wapi aise
au imekuwa kinyume chake maisha bomu kwa kila mtanzania na maisha bora yaliyotukuka kwa viongozi wa nchi hii
 
Last edited by a moderator:
siamini, yaani huyu mkweree anachukiwa kiasi cha watu kutaka kujilipua!!
nakwambia kikundi kitakachokuwa cha kwanza kuingia mtaani ili mradi tutoke mikononi mwa hawa mafedhuli, nitatangulia mbele na niondoke wa kwanza, ili wanangu baadae waje ishi bila unyanyapaa wala kunyang'anywa nssf yao! Naichukia serikali yake mnoooooo!
 
d62.jpg
 
Rais anapenda show off huyu dah?!..hakupiga picha enzi zake?!..huu u-camera philic unatokea wapi?!
yaaani hakutegemea maishani kuishi maisha anayoishi, kula bata kama hizi! na anafanya kukomesha kabisaaaaaaa maana anajua muda si mrefu kitanuka! laanakhum mtu huyu!
 
Back
Top Bottom