CPA weekend review center | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CPA weekend review center

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kichwa Ngumu, Aug 23, 2012.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  heshima yako.
  mimi ni mhasibu nipo Korogwe napenda kufanya mitihani ya Bodi nikianzia module E, tatizo nililokuwa nalo kwa mkoa wa Tanga hakuna review center; kwa maeneo ya mikoa jirani kama DSM naweza kupata week ent review center.

  tafadhari naomba nishauri njia yoyote ambayo naweza kuitumia kutimiza ndoto yangu ya kupata CPA
   
 2. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Tanga hakuna wahasibu bwana---!
   
Loading...