CPA(T) na Mamlaka waliyopewa NBAA

Farudume

JF-Expert Member
Jan 10, 2013
3,946
3,685
Baada ya kusoma na Kujiridhisha na utaalamu wangu kuhusu Mambo ya Kiuhasibu na Ukaguzi wa Mahesabu,Nimeamua kuanzisha AUDITING FIRM.Naomba kujuzwa ni Kifungu gani cha Sheria kinachohitaji niwe na CPA(T) Kama hitaji Muhimu la Kwanza.
 
GOVERNMENT NOTICE NO.35 published on 1/3/2013
THE ACCOUNTANTS AND AUDITORS
(REGISTRATION) ACT,
(CAP. 286)
……………………….
BY-LAWS
…………………….
(Made under section 45)
……………………….
THE NBAA (PRACTISING) BY-LAWS, 2013

Eligibility for
Application of
Certificate of
Practice

3. -(1) Any Certified Public Accountant with the required auditing
experience is eligible to apply for a Certificate of Practice as set
out in the Schedule to these By-laws.

Eligibility to a
Membership
3. –(1) Any person on making an application in Form A set out in the
Schedule to these By-laws, and upon payment to the Executive
Director of the prescribed fees and the application supported by
the following appropriate references is eligible to be a member of
the Board, if that person:
(a) is a holder of a Certified Public Accountant Certificate of
Tanzania or its equivalent;

inatosha bana, acha uvivu rudi shule alaa!!!
 
Mkuu kwa kiwango fulani umenisaidia.Vipi,Kwenye FINANCE ACT hakuna kipengele chochote kinachomlazimisha Mtu kuwa na CPA(T) kwa ajili ya kumwezesha kumudu baadhi ya Majukumu?
 
kama wewe ni mmiliki tu na hufanyi kazi za firm bali ni kusimamia kama mkurugenzi mkuu nafikiri si lazima uwe na CPA,ila watendaji wako utakaowaajiri na watakaokagua kazi mbalimbali firm yako itakapopata tenda lazima wawe nazo na wawe registered na NBAA
 
Naam,Nimekupata.
 
aise mkuu acha kufikiri tu hebu pitia act vizuri !hata leseni yake ya biashara kuna vigezo lazima ufuzu
GOVERNMENT NOTICE NO.35 published on 1/3/2013
THE ACCOUNTANTS AND AUDITORS
(REGISTRATION) ACT,
(CAP. 286)
 
aise mkuu acha kufikiri tu hebu pitia act vizuri !hata leseni yake ya biashara kuna vigezo lazima ufuzu
GOVERNMENT NOTICE NO.35 published on 1/3/2013
THE ACCOUNTANTS AND AUDITORS
(REGISTRATION) ACT,
(CAP. 286)

Duh,haya kaka,kama hata mmiliki naye anatakiwa awe na CPA nitakuwa nina shaka na hiyo ACT,kwa kuwa naajiri vijana wenye ujuzi nainvest ili nipate mkwanja sasa kwani kuna shida gani hapo
 
naomba nieleweshwe ndg nataka nfanye mitihani ya bodi ya cpu inakaje km nina dip au davance
 
Dah!Ngumu kumeza lakini hapo kwenye Nyekundu nahisi ulikuwa unamaanisha CPA na ADVANCE DIPLOMA.Kama una ADVANCE DIPLOMA ya ACCOUNTANCY Utaanza na FINAL STAGE-MODULE E.Kama una DIPLOMA ya ACCOUNTS Utaanza na INTERMEDIATE STAGE-MODULE C.
 
Back
Top Bottom