CoW yazidi kusambaratika

CoW yazidi kusambaratika

Huwezi kuweka hoja bila kusema mambo ya ujamaa?

Subiri mjamaa Magufuli atakavyowaonesha.

Bavaria samahani lakini ninapojadili na Mtanzania, haswa wazee wazee wale hawajatoka nje ya Tz huwa inabidi niwaelewe kwa wao kushirikisha kila kitu kwa mtazamo wa ujamaa. Utakuta mnapojadili biashara za kimataifa na mahesabu yake, anahusisha mambo ya undugu na fadhila humo.

Dunia ya sasa haipo huko tena, mambo yanaendeshwa kiubepari na unyang'au, na ndio naona rais wenu Magufuli amefaulu kuiga kabisa mfumo wa ubepari. Haswa jinsi anavyowafuta watu huko bila kujali undugu wala nini, yeye anatumbua tu. Pia naona amefaulu kutupiga mieleka ya kiunyang'au kwenye hili la bomba, hakupoteza muda alipokutana na Museveni, ni kama alimpiga ambush hivi. Huo ndio tunaita unyang'au, dunia ya sasa inataka kuendeshwa hivyo.

Kwa kweli huyo rais wenu anaridhisha kwa jinsi anavyotenda kazi, japo naona kidogo amepiga breki kwa issue ya juzi ya January Makamba. Nilitaka nione hatua atakayochukua pale ngoma imemfikia kwa mtu wake wa karibu. Huyo dogo Makamba naona anataka kumuaibisha mzee Yusuf Makamba ambaye niliishi sana kwenye hoteli yake Morogoro, na alitupokea binafsi kwa heshima na alituchekesha sana kila siku. Sasa dogo anakua waziri wa kwanza kutajwa kwenye kasha ndani ya hii awamu ya tano.
 
Mambo ya JMakamba ni zaidi ya kutumbua jipu. Kuna kitu pale.
 
Mkuu MK254 Bila Tanzania M7 asingekuwa Rais wa Uganda analipa fadhila lakini kubwa zaidi wenye kutoa fedha wanaogopa kupitisha bomba la mafuta Kenya kwasababu ya kitisho cha Alshabab wa Somalia watakuwa karibu sana na hilo bomba.South Sudan watajenga bomba la mafuta kuelekea Ethiopia na Djibouti.Wadau wawili wameshatimua mbio wamewaacha kwenye mataa serekali ya JUBILEE.Isitoshe kuna dalili nzuri ya upatikanaji wa mafuta ziwa Tanganyika itakuwa rahisi kuanganisha na bomba linalotokea Uganda hadi Bandari ya Tanga hadi soko la dunia.

Mkuu Ngongo umesahau kidogo ku include North East DRC na kwenyewe kuna mafuta, sina shaka na wao watatumia bomba la Uganda - Tanga.

Mkuu si unajua tena familia ya Kabila iliwahi kuishi Tanzania kwa muda mrefu na Serikali yetu iliwasaidia kwa hali na mali, hivyo hawawezi kutuangusha hata kidogo.
 
tayari ushakimbilia kwenye UNDUGU! kwa hiyo hata kama gharama za kutekeleza hayo zitakuwa juu, wao hawatajali? wataweka undugu kwanza? we Bukyanagandi huwa nashindwa kukuelewa kabisa! utekelezaji wa wa Congoman ni kumwachia Mungu tu! lakini kwa mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kupitisha kwingine wakati Uganda "itakuwa" isha fupisha kazi, kumbuka Eastern DRC ni karibu sana na Uganda! sisi wote ni NDUGU ila usiuweke mbele sana... utakutia hasara
 
Dunia bado inaendeshwa ktk misingi ya haki. Usitudanganye.

Undugu na fadhila haiepukiki. Nyinyi mshadanganywa ubepari ndio way of life ndio maana kuibiana kwenu hamuoni ni tatizo. Ila fadhila ni animal instinct, Russia kamsaidia Syria sababu ya fadhila, US baba yenu alimgeuka Sadam, Ghadafi etc sababu ya ubepari, hata nyie history yenu sio wageni kwenye kugeuka geuka.
Huwezi fanya biashara bila kuangalia past present and future events and their likely impacts kwa business yako.

Its always business, that mindset has caused mabalaa kushinda baraka. Ndio maana hata raisi wetu mpendwa anakataa msemo wa business only.

So you me frnd do not come here and kujifanya unajua mambo venye yanapaswa kwenda, tunakuona kama victim mwingine wa ubepari.
 
Huwezi kuweka hoja bila kusema mambo ya ujamaa?

Subiri mjamaa Magufuli atakavyowaonesha.

Mkuu, jamaa akibanwa kwa facts na figures ana poteza mwelekeo utakuta mara zote anakimbilia kuzungumzia evil of Socialism and the blessings of Capitalism!!!!

Ukimuhoji hivi Taifa la Uchina ambalo Kenya ilikwenda kutembeza bakuri la kuomba misaada ya kujengewa reli, mabarabara, bandari, madaraja nk kwani China inafuata mfumo gani kama sio UJAMAA - ukimbana kwa swali dogo na lenye mshiko kama hilo, basi kama kawaida yake atazungumzia mambo ya Makamba au daraja la Kigamboni vitu ambavyo ni totally incoherent na mada husika, oh yes, angalia Ndugu Ngongo anazumgumzia nini na jamaa anajibu nini - is out of sync completely sijui ni by design au hana hoja zenye mshiko!!

Nisieleweke vibaya kwamba labda kuna bifu kati yetu - far from it, mimi kinachonikera ni uzabazabina wake, muda wote hana jambo jema alisemalo kuhusu Tanzania-akikutana na member wa JF ambaye haipendi Tanzania ataungana nae, jaribu kufatilia kwa karibu nyuzi zake.

Wakenya wengi ni watu fresh sana, lakini siyo huyu ambaye ujifanya anaijua sana Tanzania like back of his hand, ulaghai mtupu - siyo siri ana chuki za ndani kwa ndani kuhusu Tanzania lakini wakati mwingine ujisahau na ku- expose chuki zake adhalani!

Traits zake zote ni dalili tosha za kudhilisha mtu/Taifa ambalo hawajiamini, kama vipi namshuri aombe Uraia wa Tanzania ili apunguze rhetoric zake za Sungura kusema "ZABIBU mbichi" kumbe anazitamani lakini hana uwezo au mbinu za kuzifikia.
 
Ukiwa na roho nyepesi unaweza kuishia kumtukana mtu.

Na mwaka huu Magufuli atawanyoosha hadi washike adabu.

Kama walishindwa kwa Kikwete basi muda sio mrefu sitashangaa operesheni ya kufukuza wahamiaji haramu ikaanza na Wakenya.
 
Mkuu Bavaria raha ya mnakasha ni kuvumiliana.
 
Back
Top Bottom