#COVID19 Covid 19 sio janga kubwa la mwisho, tujiandae na janga kubwa lingine - Bill Gates

Ukisoma comments za wadau ...hapo juu inaonesha hii nchi ipo nyuma sana kifikra...
Hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kutengeneza virus,tuanzie hapo kwanza.......
Tutaona magonjwa mapya siku hizi kwasababu
@tumeharibu makazi ya wanyama wa porini ambao wanawabeba hao virus mfano popo.huyu jamaa anabeba virusi wa aina nyingi na ambao ni hatari
@kuongezeka kwa joto la dunia.....hii inasababisha kuyeyuka kwa barafu zilizopo kwenye ncha za dunia....inaonekana kuna virusi vilikuwa trapped kwenye hii miamba ..sasa ikitokea binadamu au mnyama yeyote amepita hiyo mitaa..anawachukua na kuwaleta kwetu...shughuli inaanza
Kwahiyo billgates anatoa ushauri mzuri ...kwamba tujiandae ,tuwe na mifumo mizuri ya uendeshaji wa sekta zetu( afya)
 
Jeypm jamaa yangu hebu acha tabia ya kuwaita mabeberu hawa jamaa wakiamua kutumaliza baba ni dakika sifuri.Wanaweza tuma ka drone usiku kakaja kunyuzia virus maeneo ya DODOMA ,CHATU N DAR tukapoteana.

Miaka ya 80 nakumbuka makaburu walileta mitumba South Africa zikiwa zimenyunyiziwa sumu
Watu weusi walikwisha haswa
Wakiamua kutuuwa wanaweza sana maana ndio wanalisha mataifa masikini kwa ujumla
 

Acheni kuwanukuu waungwana hao nje ya context.

Kwamba uko kwenye hali mbaya leo, kutambua hilo wakati unapambana huku ukajipangia mawazoni kuwa tulicheza fyongo na kwamba ili hali kama hii isije tokea tena tudhanie hali iliyo mbaya zaidi ya hii kutokea. Kuna ubaya gani kwenye hilo?

Kuna ubaya gani kujiwekea benchmarks za juu ili kutotumbukia tena kwenye janga kama hili tena?

Hii inaitwa Murphy's law wakuu. Hakuna kigeni hapo!

Wakuu elimu ni bahari.

😂😂😂😂😂😂😂
 
Kama nimekuelewa vile
 

Mkuu.

Yaani kweli unajaribu ku-reason na hawa maankali?

Hutaambulia kitu zaidi ya kebehi, vijembe na matusi!
 
Why billgate havai barakoa?
 
Wataharibu mazingira wanataka tuwe mbolea
 
Huyu pepo ndio anatengeneza haya matatizo duniani alafu anakuja na chanjo zake za ajabu ajabu
 
Jamaa shetani sana huyu, Bill is the worst ever man to live in the world. Huyu ndio anaharibu dunia kupitia chanjo na GMO Foods. Tuwe makini sana na huyu shetani
Uzuri watu washamjua anajificha nyuma ya humanitarian aids,anatengeneza matatizo alafu ana funds chanjo za ajabu ajabu ili atumalize.
Hata hii covid alishaatabiri miaka kadhaa nyuma, kumbe ndie anaepanga na kutengeneza hizi virus.
Huyu ni pepo na lengo lake kuu ni kufanya depopulation duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…