#COVID19 Covid 19 sio janga kubwa la mwisho, tujiandae na janga kubwa lingine - Bill Gates

Sawa msomi....ila nyungu ni kama kanuni...
Kujisomea hakuhitaji usomi. Ni mazoea tu kama kupenda kunywa kahawa. Nyungu haisadii corona. Inaleta illussion unaona kama ni ile nyungu imekusaidia kumbe hata usingepiga nyungu ungepona. Kumbuka asilimia kubwa (zaidi ya 97%) ya wanaougua corona hawafi.
 
Back
Top Bottom