We are very active to look for the cure. FYI the government is encouraging local traditional healers to team up with local doctors to come up with the solution. ''Nyungu'' has its benefits and it has helped a lot of people in many ways. Even scientific doctors appreciate what it does to the human body.
They stop testing because there were problems with the method of testing. When a goat and engine oil tested positive, how would one know if the kits work as intended? What's the control?
Kwa hiyo umeona mimi napinga vaccine? Wapi nimekwambia napinga chanjo? Chanjo ni hiari ya mtu.
Ulipotea sana kwenye hii mada.You trust those lies? 😳😳😳
Ulipotea sana kwenye hii mada.
Uongo gani huo?Kwako wewe nipo nipo sana tu. Sikubali upumbavu unaonezwa kuhusu uongo uliokithiri unaohusiana na COVID-19.
Uongo gani huo?
Kwamba hakuna Covid kwamba barakoa si salama eti kuna vita vya kiuchumi.
Mkuu kwani wewe unataka kweli kujua sayansi ya nyungu, au haupendi kuona Waswahili wakija na fumbuzi zinazoeandana na mazingira yao kwa matatizo yanayotukia?Ukiona hoja na viroja kama ujue hoja zimebana. Teh teh teh maana watu wanakaba bila huruma
1. Tueleze nyungu imetengenezwa na nini na kwanini inatofautiana sehemu moja hadi nyingine!
COVID: why are Swedish towns banning masks?
Masks between 7am and 9am for those born before 2005 – Sweden’s coronavirus policies are unnecessarily confusing.theconversation.com
DHS seizes over 11 million counterfeit 3M N95 masks, more raids to come
The raids were conducted as part of Operation Stolen Promise, which was launched in April by Homeland Security to investigate Covid-19-related fraud.www.cnbc.com
COVID: why are Swedish towns banning masks?
Masks between 7am and 9am for those born before 2005 – Sweden’s coronavirus policies are unnecessarily confusing.theconversation.com
DHS seizes over 11 million counterfeit 3M N95 masks, more raids to come
The raids were conducted as part of Operation Stolen Promise, which was launched in April by Homeland Security to investigate Covid-19-related fraud.www.cnbc.com
Tueleze nyungu ya Tanzania nayo inafanyaje kazi? na inakuwaje kila mahali pana nyungu yake?Machapisho ya Nyungu na magonjwa ya changamoto ya kupumua yako kedekede... Hilo chapisho lililonukuliwa hapo ni la kwenye Jarida la Food and Chemical Toxicology, Juzuu ya 148, la Februari 2021.
The issue is not Zakumi against me or anybody else with different ideas/opinion. Tanzania never stopped looking for solutions to its problems. Last year we managed to solve the first wave of covid-19 and the majority of people were not happy in order to facilitate their own political agenda/ambitions. The same people are the ones who are making loud voices that the Government has failed to control the disease without facts.Here we go again. Now we are actively looking for a cure. Five minutes ago, we were learning to live the disease. What's next? Please tell me.
Personally, I think we are making a terrible mistake by making the fight against covid in Tanzania a partisan issue. For example those who support the government defend whatever steps the government takes; whereas, those who don't support it try to find errors to put the government in a bad light.
Personally, I think this should be one of the issues that unite the country because the disease doesn't discriminate. It infects people from different backgrounds. It kills those at the center of the power as well as those at the bottom of the ladder. To me I think we should have fought this disease the way we would have done when a common enemy attacked our country.
Tueleze nyungu ya Tanzania nayo inafanyaje kazi? na inakuwaje kila mahali pana nyungu yake?
Ukiwa umepoteza ndugu , jamaa au rafiki hii sentensi inatia maudhi sana.The current wave will pass and Tanzania will be safe.
OK, tuambie nani anayehakikisha ''proper requirements have been met' ?In regard to the vaccine, The Tanzania government has left its options open until the proper requirements have been met. All medications allowed in the country should be verified by the authorities, it is as simple as that.
Us'take N'cheke!
Iweje utegemee nyungu ya India iwe tofauti na ya Tanzania, kwa mimea ileile ya kupigia nyungu? Kwani hiyo mimea wanayopigia nyungu India, ikiwapo Tanzania inabadilika utendaji kazi wake? Mimea hiyo tajwa kule India, hapa Tanzania ipo. Mimea hiyo inatumika pia kupigia nyungu / tiba asilia kama inavyotumika India, China, na kadhalika (Great Minds Think Alike ). Majina yao ya Kibantu ni :
Mkaratusi (Eucalyptus globulus)
Mfundu, Mfuru, Mfuu, Mfudu, Matuhuru, Mfulu (Vitex spp.)
Lindau, Tugutu (Justicia spp.)
Back to the topic... enough of the red-herrings...