Course ya EDUCATION ni ya kijinga sana wakati huu

Nyavinene

Senior Member
Joined
Jul 28, 2020
Posts
164
Reaction score
174
Habari wadau!

Katika kusoma au kusomesha usije kuruhusu au kusomesha mwanao course ya ualimu. Hii kozi ni ya watu ambao hawajui kesho yao. Mimi Kuna mdogo wangu kamaliza chuo mwaka huu. Nimeamua nimtafutie mchongo but kwa vile akosomea ualimu kila akienda sehemu hakuna mchongo unaoendana na taaluma yake! Yani mpaka nachanganyikiwa

Saivi natamani walau nimpeleke vyeta make mambo c mambo tena
 
So sad
 
Wewe hujasoma Ualimu na pia hujielewi. I'm sorry
 
Ww pia mjinga hata VETA imekushinda kuandika .serkali imetangaza ajira 13500 nchi nzima vijana wako busy wanaapply wewe kalale na oil chafu huko vyeta (VETA)

Mpeleke tu hivyo vyeta
 
Ww pia mjinga hata VETA imekushinda kuandika .serkali imetangaza ajira 13500 nchi nzima vijana wako busy wanaapply wewe kalale na oil chafu huko vyeta (VETA)
Wewe mataga kuanzia 2015 up to 2020 hakuna ajira sasa unaongelea ajira 13000+???? Mataga vipi??
 
Nini maana ya Mataga
Ni watu wa CCM ambao kazi yao ni kusifia serikali na wanapokea mishahara minono na mirefu mno. Kazi yao 24/7/365 ni kusifia serikali. Hata humu jf wapo. Wanalipwa vizuri mno na wana majumba ya kifahari na magari makubwa ya kifahari. Kazi ya umataga inalipa mno. Mfano yupo hapo juu USSR anatekeleza majukumu yake kwa ufanisi wa hali ya juu. Wanalipwa vizuri mno.
 
Mi nahisi utakuwa we mwenyewe na wala sio mdogo wako, pia inaonekana matokeo yako ni ya hovyo ndo mana unataka kwenda kusafisha na VETA Kama una matokeo mazuri nenda kasome bachelor of engineering au kama vp njoo huku bush tukate mkaa!!
 
Habari wadau!

Katika kusoma au kusomesha usije kuruhusu au kusomesha mwanao course ya ualimu. Hii kozi ni ya watu ambao hawajui kesho yao. Mimi Kuna mdogo wangu kamaliza chuo mwaka huu. Nimeamua nimtafutie mchongo but kwa vile akosomea ualimu kila akienda sehemu hakuna mchongo unaoendana na taaluma yake! Yani mpaka nachanganyikiwa

Saivi natamani walau nimpeleke vyeta make mambo c mambo tena
saivi =Sasa hivi
Vyeta =veta
Mambo c mambo =mambo si mambo
Kijana naona wewe ndio unaitaji elimu zaidi ya uyo mdogo wako nyinyi ndio wale wa kuandika sms za Xaxa =Sasa kiukweli siwapendi watu wa dizaini hii
 
Tatizo la kumiliki cheti elimu unaiacha chuoni
Habari wadau!

Katika kusoma au kusomesha usije kuruhusu au kusomesha mwanao course ya ualimu. Hii kozi ni ya watu ambao hawajui kesho yao. Mimi Kuna mdogo wangu kamaliza chuo mwaka huu. Nimeamua nimtafutie mchongo but kwa vile akosomea ualimu kila akienda sehemu hakuna mchongo unaoendana na taaluma yake! Yani mpaka nachanganyikiwa

Saivi natamani walau nimpeleke vyeta make mambo c mambo tena
 
Ni watu wa CCM ambao kazi yao ni kusifia serikali na wanapokea mishahara minono na mirefu mno. Kazi yao 24/7/365 ni kusifia serikali. Hata humu jf wapo. Wanalipwa vizuri mno na wana majumba ya kifahari na magari makubwa ya kifahari. Kazi ya umataga inalipa mno. Mfano yupo hapo juu USSR anatekeleza majukumu yake kwa ufanisi wa hali ya juu. Wanalipwa vizuri mno.

Hapo kwenye kupokea mishahara minono hapo napinga kwa nguvu zote! Hayo MATAGA hulipwa posho tu ya siku ya Tsh. 7000! Hali ni ngumu sana kwao.
Wengi wao mfano Bia yetu, Elitwege, Magonjwa Mtambuka, nk. Wamekata tamaa kutokana na hicho kiwango cha posho kuwa kidogo! Anayejitutumua mpaka sasa ni Kawe Alumni na Mataga wenzake wachache tu.
 
Hiyo ni basic, ila overtime pamoja na hela ya kutukana watu na kuongea ujinga unakuta anaingiza mpaka laki kwa siku. Yaani mnavyogombana nao na kubishana nao mnafanya waongezewe posho. Ndio maana msipobishana nao wanakuwa na hasira kwakuwa mnawakosesha posho. Kuna mataga wanaingiza mpaka laki tano kwa siku. Ndio maana wanajenga majumba ya kifahari.

Wengine wapo kwenye kampeni kwa sasa. Uchaguzi ukiisha mtawaona wanavyoporomosha maghorofa ya kifahari.
 
Back
Top Bottom