ukisoma vizuri yote yanawezekana. But agri Economic haiko sawa na BCOM kwa sababu kwenye hiyo kozi inazungumzia unawezaje kupply principles za economics katika agricultureNi hayo tu wakuu na pia ktk kuongezea nimesikia kwamba ba in agri economics haina tofauti sana n bcom,je kuna ukwel katika hili nawasilisha ndugu zangu!
Ni hayo tu wakuu na pia ktk kuongezea nimesikia kwamba ba in agro economics haina tofauti sana n bcom,je kuna ukwel katika hili nawasilisha ndugu zangu!
kwanza hiyo haitwii Agro Economics inaitwa Agri Economics where Agri stand for Agriculture
Inaitwa Agricultural Economics and Agribussness na siyo BA ni Bsc kama mnaongelea ile kozi inayotolewa SUA. Kwa ka-experience kangu kadogo naona kazi zao wanazofanya graduates wa hii kozi ni sawa kwa asilimia kubwa na kozi nyinginezo za uchumi na fedha, wengi wao ni wahasibu,wachumi wa makampuni na ofisi mbalimbali.
kama kuna mtu anafanya kazi za uhasibu basi ujue huyo anaibia tu au ameajiliwa kwa kimemo.
Inaitwa Agricultural Economics and Agribussness na siyo BA ni Bsc kama mnaongelea ile kozi inayotolewa SUA. Kwa ka-experience kangu kadogo naona kazi zao wanazofanya graduates wa hii kozi ni sawa kwa asilimia kubwa na kozi nyinginezo za uchumi na fedha, wengi wao ni wahasibu,wachumi wa makampuni na ofisi mbalimbali.
Sio BSC bwana na Bachelor of agriculture economics& agriculture business.
Hapo umekosea...je unajua humo ndan wanasoma nin!?? Akaunt hawasom!? Management hawasom?? Sasa kwa nin asifanye kaz za uhasib!?
Sio BSC bwana na Bachelor of agriculture economics& agriculture business.