Course ya Agro economics ni nzuri kwenye kujiajiri au kuajiliwa?

hanley jr

Senior Member
Feb 26, 2013
119
27
Ni hayo tu wakuu na pia ktk kuongezea nimesikia kwamba ba in agro economics haina tofauti sana n bcom,je kuna ukwel katika hili nawasilisha ndugu zangu!
 
Ni hayo tu wakuu na pia ktk kuongezea nimesikia kwamba ba in agri economics haina tofauti sana n bcom,je kuna ukwel katika hili nawasilisha ndugu zangu!
ukisoma vizuri yote yanawezekana. But agri Economic haiko sawa na BCOM kwa sababu kwenye hiyo kozi inazungumzia unawezaje kupply principles za economics katika agriculture
 
Ni hayo tu wakuu na pia ktk kuongezea nimesikia kwamba ba in agro economics haina tofauti sana n bcom,je kuna ukwel katika hili nawasilisha ndugu zangu!

kwanza hiyo haitwii Agro Economics inaitwa Agri Economics where Agri stand for Agriculture
 
Inaitwa Agricultural Economics and Agribussness na siyo BA ni Bsc kama mnaongelea ile kozi inayotolewa SUA. Kwa ka-experience kangu kadogo naona kazi zao wanazofanya graduates wa hii kozi ni sawa kwa asilimia kubwa na kozi nyinginezo za uchumi na fedha, wengi wao ni wahasibu,wachumi wa makampuni na ofisi mbalimbali.
 
kama kuna mtu anafanya kazi za uhasibu basi ujue huyo anaibia tu au ameajiliwa kwa kimemo.
 
Hapo umekosea...je unajua humo ndan wanasoma nin!?? Akaunt hawasom!? Management hawasom?? Sasa kwa nin asifanye kaz za uhasib!?
 
Inaitwa Agricultural Economics and Agribussness na siyo BA ni Bsc kama mnaongelea ile kozi inayotolewa SUA. Kwa ka-experience kangu kadogo naona kazi zao wanazofanya graduates wa hii kozi ni sawa kwa asilimia kubwa na kozi nyinginezo za uchumi na fedha, wengi wao ni wahasibu,wachumi wa makampuni na ofisi mbalimbali.

Sio BSC bwana na Bachelor of agriculture economics& agriculture business.
 
Haiwezekani mtu wa Bsc Agri Economics awe mhasibu mkuu wangu sana sana atakuwa anajua/amesoma principles of accounting ambayo hata mwanafunzi aliyemaliza form IV mchepua wa biashara kaipitia.

Hapo umekosea...je unajua humo ndan wanasoma nin!?? Akaunt hawasom!? Management hawasom?? Sasa kwa nin asifanye kaz za uhasib!?
 
aea ama agriculture economics and agribusiness ni sawa na fani nyingine za uchumi na wengi wao wako fit kuliko accounting,bcom n.k....naongea hayo kwa uzoefu wa kuwa interview undergraduate wa vyuo mbalimbali kiukweli wako safii sana hawa vijana kutoka sua
 
Back
Top Bottom