Course hizi za mathematics huwezi kuzisahau

Course hizi za mathematics huwezi kuzisahau

Kwa mliosoma mathematics chuo kikuu marufu kama MT huwezi zisahau course hizi mm naanza
NUMBER THEORY
ABSTRACT ALGEBRA
TOPOLOGY
FUNCTIONAL ANALYSIS
REAL ANALYSIS
taja zako zilizokutesa
Hivi zile hesabu za kitabu cha Kinunda bado mnafundishwa Advance, namiss Logic, Set, function na Calculacy
 
Sijui huyu prof Mshimba alipotelea wapi simwoni kabisa wala kusikia habari zake siku hizi ktk anga za wasomi.

Lazima atakuwa Alistafu
Kama sikosei alikuwa mzanzibar
Wazee wenzake
Prof Luhanga.....hayupo
Prof Masuha ..... kama sikosei RIP
Akina chambega
Dr lwaitama nk

Lazima amestaaf mzee wawatu
 
Mi mathematics kwangu ni kama mchezo wa Gemu napenda vile minamba inavyoshuka na kupata jibu
 
Abstract Algebra ilikuwa ngeni kidogo kwangu,
Ila kuna vitu ukishavijulia haisumbui...
 
Mimi mwenyewe nimesoma engineering coet na one yangu ya nne lakini sijui hizo hesabu, hizi zitakuwa wanasoma walimu vilaza wanaoingia Chuo na div 2 au 3, Coet hakujawahi kuwa na huu uchafu
Mkuu kwamba ata variable function ujasoma hapo COET na one yako ya nne? alafu unaweza kuta wewe ni miongoni mwa wale walioitwa na Mh Rais kua wasomi wajinga.
 
Mimi mwenyewe nimesoma engineering coet na one yangu ya nne lakini sijui hizo hesabu, hizi zitakuwa wanasoma walimu vilaza wanaoingia Chuo na div 2 au 3, Coet hakujawahi kuwa na huu uchafu
Imekusaidia nn mkuu hiyo one yako? Wapo vilaza walioingia chuo na div 3 ila sahiv kimaisha wameacha mbali sanaa.. Usijisifie ujinga mkuu, wajomba kibao wamemaliza Coet na wanatukopa vocha na mchele sisi tulio na maduka ya mangi huku kitaa.
 
Kwa mliosoma mathematics chuo kikuu marufu kama MT huwezi zisahau course hizi mm naanza
NUMBER THEORY
ABSTRACT ALGEBRA
TOPOLOGY
FUNCTIONAL ANALYSIS
REAL ANALYSIS
taja zako zilizokutesa
MT 111 na MT 112 ni nomaa
 
Atakuwepo tu aende wapi sasa wakati hayo makozi ya sifa yeye ndo senior ukimwondoa prof Mshimba na kale kakijana kanaitwa Mwanzalima sijui kashapata phd ama vipi maana kitambo sana sijatembelea majengo yao.
Alikuwepo na prof Masanja yule mwanamama wa kihaya
 
Back
Top Bottom