Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,313
- 46,823
Utakuwa BAM kama mimi tu weweChuo sijasoma hesabu; ila kidato cha sita nakumbuka differentiate dy over dx when x approaching zero
hesabu kama huzijui basi ni mama mkwe!!
Utakuwa BAM kama mimi tu weweChuo sijasoma hesabu; ila kidato cha sita nakumbuka differentiate dy over dx when x approaching zero
hesabu kama huzijui basi ni mama mkwe!!
Calculus and numerical method [emoji4][emoji4][emoji4]
.
Nasoma nifanye UE, nilikesha class mpaka saa ya mtihani na supp nikapata.
.
Majira ya saa 9 usiku Kuna mtu alikuja kusoma akanikuta. Akanambia "we dada wenzio wamelala, we unasoma Kama huji kuolewa"?
Nikacheka tuu nikaendelea na msuli wangu.
Hahaha utapeli mwingi..mkuu ushaanza kupractice nini??Mimi ndio maana nilishindwa hesabu..Ni somo flan la ujanja ujanja hivi na utapeli nikaona bora nikasome zangu bios
Ha ha ha, Div 2 kilaza mkuu, mbona hizo division ndo wanazoingilia Coet?Mimi mwenyewe nimesoma engineering coet na one yangu ya nne lakini sijui hizo hesabu, hizi zitakuwa wanasoma walimu vilaza wanaoingia Chuo na div 2 au 3, Coet hakujawahi kuwa na huu uchafu
[emoji23][emoji23][emoji23]ni hongera au pole?!Hahahahaha lol! Hongera
🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️Mimi mwenyewe nimesoma engineering coet na one yangu ya nne lakini sijui hizo hesabu, hizi zitakuwa wanasoma walimu vilaza wanaoingia Chuo na div 2 au 3, Coet hakujawahi kuwa na huu uchafu
Rahisi mno izo MT 100, 127, 120, 234 hakuna MT nisiopata A, changamoto kidogo ilikua MT 233 ya Omary Ila zote ziliishia AFoundation of analysis-Mt 100, ilikuwa ni habari nyingine kabisa
Nahisi ulisoma pale MuccobzMT 168/171/271 zilinitoa jasho, nishasahahu hadi majina, viunga vya theatre ( nyerere hall) palikuwa hapakariki
Ha ha ha, Div 2 kilaza mkuu, mbona hizo division ndo wanazoingilia Coet?
Kakiko mnoko sana na Homomorphism zake bila kusahau Schwartz lemma.Jamani Dr kakiko bado yupo series zake?
UDSM mkuuNahisi ulisoma pale Muccobz
Labda CoET ya siku hizi c niliyosoma mimi naukipanga wangu niliishia gpa ya 4.3 na wakati naingia nilitamba nitapiga 5.0Haijuwi anachoongea huyo msamehe bure
Labda CoET ya siku hizi c niliyosoma mimi naukipanga wangu niliishia gpa ya 4.3 na wakati naingia nilitamba nitapiga 5.0
Kakiko mnoko sana na Homomorphism zake bila kusahau Schwartz lemma.
Atakuwepo tu aende wapi sasa wakati hayo makozi ya sifa yeye ndo senior ukimwondoa prof Mshimba na kale kakijana kanaitwa Mwanzalima sijui kashapata phd ama vipi maana kitambo sana sijatembelea majengo yao.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Alikuwa balaa sana na vi series vyake
Nimiaka mingi imepita sijuwi Kama bado yupo
Atakuwepo tu aende wapi sasa wakati hayo makozi ya sifa yeye ndo senior ukimwondoa prof Mshimba na kale kakijana kanaitwa Mwanzalima sijui kashapata phd ama vipi maana kitambo sana sijatembelea majengo yao.
Sijui huyu prof Mshimba alipotelea wapi simwoni kabisa wala kusikia habari zake siku hizi ktk anga za wasomi.Umenikumbusha huyu mzee Prof Mshimba
Mzee wa random variable (probability)