Course Gani nzuri kusoma kuanzia Certificate kwa matokeo haya?

palesh pizoo

Senior Member
Apr 14, 2018
131
223
Mdogo wangu amemaliza kidato cha nne na kupata DvsnIII 25
CIVICS - 'C'
HISTORY - 'C'
GEOGRAPHY - 'C' KISWAHILI- 'C'
ENGLISH - 'D'
BIOLOGY - 'D'
B/MATH - 'F' tukasubiria labda anaweza kupata selection ya Advance lakin hajachaguliwa, baada ya kushindikana hapo tukaona bas sio vibaya ikiwa ataenda chuo akaanze certificate lakin mjadala ukawa ni Course ipi akiisoma itamsaidia ikiwa akikosa ajira maana soko la ajira sasa hivi ndo kama hivi tunavyoona. Msaada toka kwenu
 
Aende chuo akasomee ualimu wa kufundisha watoto wadogo wa chekechea ni course nzuri kwa mazingira ya Sasa kila mzazi anapambana kupeleka mtoto shule kuanzia miaka miwili.

Akimaliza asipoajiliwa anaweza hata kupanga chumba akatafuta watoto hata wa majirani wawili akafungua day care na chekechea ndani ya miezi mitatu atakuwa na watoto wa kutosha kikubwa ajue kucheza na akili za watoto.
 
Pale matokeo yanapokuchagulia nini cha kusoma baada ya kwenda ndivyo sivyo... Hapa ndiyo ndoto nyingi za watu hupotea
 
Yeye kwa sasa anafanya biashara ya Sit Covers za kuvesha kwenye mapikipiki anazishona yeye mwenyew na kuziuza ingawa bado soko lake ni la kawaida.

Naona njia inayoendana naye n veta ilikipaji kisife....sasa hiyo kozi ya sit covers sijajua kama wanaitoa ila nimesema hivyo iliaweze kuendeleza zaidi kile anachokifanya/anachokijua
 
Naona njia inayoendana naye n veta ilikipaji kisife....sasa hiyo kozi ya sit covers sijajua kama wanaitoa ila nimesema hivyo iliaweze kuendeleza zaidi kile anachokifanya/anachokijua
Asante but hizo kava yeye ni fundi kabisa ndy maana nikauliza course yabkawaida kwa maana hata asipoajiriwa aweze kujisimamiaakiwa hata na ujuzi wa kibaishara nk
 
Asante but hizo kava yeye ni fundi kabisa ndy maana nikauliza course yabkawaida kwa maana hata asipoajiriwa aweze kujisimamiaakiwa hata na ujuzi wa kibaishara nk
Kama ndivyo mwambie afanye mchakato wa kwenda VETA maana kwa fani yake hiyo itakuwa poa sana,huko atachagua kozi kutegemea na utashi wa ufundi wake......fomu za veta zinaanza kutoka mwezi ujao
 
Back
Top Bottom