Couples Za Kibongo!

Couples Za Kibongo!

marther.jpg
 
Hebu tupeni majina ya wahusika, maana pucha pekee haielezi jitu.

Mujuni na captain mbona ni old news
 
sijaona yangu na mr lol!
ina maana sio couple bora ama??
 
kama mtu anazo za wale ndugu zetu wa ORIGINAL COMEDY atuwekeee hapa
 
hivi hakuna wanaume waswahili tunaobeba watoto wa kitasha maana naona dada zetu tu ndo wanapenda interracial
 
Allien hebu bandika na yule mwandishi aliyefunga ndowa siku ya pili baada ya ajali.
 
Hahaaaaa!!!!! couple za kibondo asilimia kubwa ni "zilipendwa a.k.a does not exist" :doh: :doh: :doh:
 
hili jamaa allien kwa malavidavi siliwezi..
hawa dada zetu wawe makini na wazungu,michezo yao ni 0713 sanasana waitaliano(unless wanaipenda hiyo michezo)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom